Mbowe ana hekima sana!

Mbowe ana hekima sana!

ungesema "mbowe asema ukweli songea...." "mbowe afyatuka songea....." ningekuelewa. unapo sema mbowe ana hekima sikuelewi. hiyo hekima umeihusishaje na maneno haya? hebu nuku sehemu ya hekima nione!
 
kuwa na kichwa siyo kuwa na akili waweza kutumia kichwa kufugia nywele tu badala ya kufikiri.
 
hapo kweli mkuu umenena wa 😛lane:, aluta continua kamanda .:laser:
 
kumbe ukiwa muuza dawa za kulevya na kuendesha kumbi za muziki na kuuza pombe unakuwa na busara,

Halafu kumbe ukipanga na kusimamia mauaji ya watu unakuwa na busara kweli tanzania daima hakuna waandishi,

Green guard utawajua tu comments zao, wao wanapanga mauaji na ufisadi wanadhani wote wanafanya hivyo.
 
kumbe ukiwa muuza dawa za kulevya na kuendesha kumbi za muziki na kuuza pombe unakuwa na busara,

Halafu kumbe ukipanga na kusimamia mauaji ya watu unakuwa na busara kweli tanzania daima hakuna waandishi,
Kwa kuwa wewe ni CCM kamwe huwezi kuona hata neno moja la maana kutoka kwenye hiyo kauli ya Mbowe.
 
ungesema "mbowe asema ukweli songea...." "mbowe afyatuka songea....." ningekuelewa. unapo sema mbowe ana hekima sikuelewi. hiyo hekima umeihusishaje na maneno haya? hebu nuku sehemu ya hekima nione!
Sitamuogopa rais, lakini nitamheshimu, sitaogopa polisi lakini nitawaheshimu, sitaogopa Jeshi lakini nitaheshimu Jeshi. "Kuanzia sasa sitamheshimu mtu yeyote asiyeheshimu ubinadamu wa mtu mwingine.
 
Kwa namna mambo yanavyoendelea katika nchi yetu hasa kwa upande wa msajili wa vyama vya siasa ambapo ameonyesha upendeleo wa waziwazi kabisa au kuto kujua kile anachokifanya katika ofisi yake au ni msukumo wa baadhi ya viongozi wenye nia Mbaya na chadema kama akina Wasira na mwigulu.
Kwa msingi huu mi naona kuna haja ya kuanza mchakato wa kuanzisha chama kipya ili Msajili akifanya utumbo wake wa kukifuta chadema then wanachama wote waambiwe kuwa chama hicho ni mbadala.
Aidha ni vigumu vile vile kukifuta chadema kwa sababau zifuatazo
a) Ukifuta chadema maanake umefuta kambi rasmi ya upinzani bungeni
b) Kukifuta chadema ni sawa na kusababisha machafuko nchini.
c) kukifuta chadema ni sawa na kusababaisha kuvunjwa kwa kamati za ,madiwani na halmashauri zinazoongozwa na chadema na hatimaye wanachi kukosa huduma muhimu
d) Kukifuta chadema ni kusababaisha mchakato wa katiba mpya kuvurugika kwa njia moja au nyingie
e) kukifuta chadema ni sawa na kusababaisha wananchi wapate hasira ya kuikana ccm kwa njia mbadala nchi nzima.

JE ATHARI ZINGINE NI ZIPI.......
 
mwenyewe niliku na wazo kama hilo. vyma ni kamamagazet likifungwa linaamzishwa jingine ili mradi waliofungiwa si waandishi
 
kianze kufutwa hiki hapa
998861_490081497742516_1206258209_n.jpg

huwezi futa cdm ni mamluki
156395_547413758655490_286445152_n.jpg
 
Hakuna wa kufuta Chama cha wananchi, kama mnawaza kufuta vyama anzeni kufuatilia Chama Tawala.....
 
Tendwa akijiroga tu kujaribu upuuzi huo damu za watu zitamwandama mpaka mwisho wa uhai wake na hata viongozi wengine wote ndani ya serikali wataishia The Hague.Suala hili analijua hata Wassira ndiyo maana juzi alisema haiwezekani kukifuta CHADEMA!
 
NEVER BETRAY YOUR CONFIDENCE LET US MOVE FORWARD QUICKLY UCHAGUZI UMEKARIBIA NA HIZI NDIZO SAA ZA UKOMBOZI
viva CDM
 
aiseeee babayangu mi nadhani kiange kufutwa hiki kwanza
Z

na hichi kinachosababisha elimu duni tanzania
Z

huyo kada maarufu wa c c m msajili wa vyama amalizie na hichi
9k=
 
Msajili futa hiyo chama nami nipate kushuhudia Tz ya baada ya hayo maamuzi ya kulewa madaraka.
Kifute kesho, usiruhusu kabisa jua la kesho kuzama tukiwa na hicho chama. Tukapate nafasi ya kuhitisha uchaguzi wa wabunge, madiwani, na wenyeviti wa serikali za mitaa.
Futa hicho chama mapema kabisa, tuendelee na shughuli zetu za kuwaletea watz maisha bora kwa kila mmoja wao
 
Kumekuwepo na vitisho juu ya viongozi wa CDM na CDM kwa ujumla toka serikalini, msajili wa vyama Bw.Tendwa, polisi na hata washirika wa karibu wa serikali hii; CUF na mbunge wa viti maalumu,James Mbatia.

Jambo linalo watisha wote hawa ni tamko la CDM la kuboresha na kuimarisha kundi la walinzi shirikishi la chama yaani brigadia nyekundu.

Ujumbe wangu kwa Mh. Mbowe na kwa CDM ni kwamba, watanzania wote wenye mapenzi mema na nchi hii tupo nyuma yenu na tunawaunga mkono sana.

Jeshi letu ni kubwa sana, tuna uwezo wa kukilinda chama na viongozi wake wote, hata kama makambi maalumu ya kuwaandaa makamanda yatahujumiwa, mitaani bado kuna vijana wengi sana walio na uwezo mkubwa sana wa kulinda usalama wa chama na mali zetu, tamko lako moja tuu linatosha na ndilo tunalisubiri kwa hamu; "Wana CDM wasikubali kupigwa bila sababu, kuonewa bila sababu ya msingi wala kunyanyaswa tena na vyombo vya dola bila sababu ya msingi".

Tamko la Mizengwe Pinda kwamba wapigeni tuu, litafsiriwe kuanzia sasa kuwa nchi ipo vitani, tena vita vya raia na jeshi la polisi, tukipigwa tutatumia haki yetu ya msingi ya kujilinda.

Tumepuuzwa sana, tumenyanyaswa sana, tumebebeshwa lawama zisizo na msingi za kutosha; sasa tunataka haki yetu kama raia; haki ya kusikilizwa, haki ya ulinzi na maamuzi ya haki.

Tunajua haki haipatikani kwa kupewa kama zawadi, bali kwa kuidai, tena kudai kwa kumaanisha.

Kamanda tupo pamoja, songa mbele, ole wao wakuguse tena, safari hii moto utawaka.

Nawasilisha
 
mwenyewe niliku na wazo kama hilo. vyma ni kamamagazet likifungwa linaamzishwa jingine ili mradi waliofungiwa si waandishi

Ndio maana watu huuliza je CDM wamejiwekea Backup yoyote endapo kitafutwa?

Vyama vya upinzania vilivyo muhimu karibu vyote vina ndoa na CCM sijui kwa CCJ ambayo katiba yake kidogo inafanana na katiba ya TANU na sijui kama huko nako hamna mapandikizwa
 
Kumekuwepo na vitisho juu ya viongozi wa CDM na CDM kwa ujumla toka serikalini, msajili wa vyama Bw.Tendwa, polisi na hata washirika wa karibu wa serikali hii; CUF na mbunge wa viti maalumu,James Mbatia.

Jambo linalo watisha wote hawa ni tamko la CDM la kuboresha na kuimarisha kundi la walinzi shirikishi la chama yaani brigadia nyekundu.

Ujumbe wangu kwa Mh. Mbowe na kwa CDM ni kwamba, watanzania wote wenye mapenzi mema na nchi hii tupo nyuma yenu na tunawaunga mkono sana.

Jeshi letu ni kubwa sana, tuna uwezo wa kukilinda chama na viongozi wake wote, hata kama makambi maalumu ya kuwaandaa makamanda yatahujumiwa, mitaani bado kuna vijana wengi sana walio na uwezo mkubwa sana wa kulinda usalama wa chama na mali zetu, tamko lako moja tuu linatosha na ndilo tunalisubiri kwa hamu; "Wana CDM wasikubali kupigwa bila sababu, kuonewa bila sababu ya msingi wala kunyanyaswa tena na vyombo vya dola bila sababu ya msingi".

Tamko la Mizengwe Pinda kwamba wapigeni tuu, litafsiriwe kuanzia sasa kuwa nchi ipo vitani, tena vita vya raia na jeshi la polisi, tukipigwa tutatumia haki yetu ya msingi ya kujilinda.

Tumepuuzwa sana, tumenyanyaswa sana, tumebebeshwa lawama zisizo na msingi za kutosha; sasa tunataka haki yetu kama raia; haki ya kusikilizwa, haki ya ulinzi na maamuzi ya haki.

Tunajua haki haipatikani kwa kupewa kama zawadi, bali kwa kuidai, tena kudai kwa kumaanisha.

Kamanda tupo pamoja, songa mbele, ole wao wakuguse tena, safari hii moto utawaka.

Nawasilisha

Sawa sawa tupo pamoja sana kamanda!!!
 
Back
Top Bottom