Mbowe ana hekima sana!

Mbowe ana hekima sana!

Kabla ya kuanza kuongea Mh.Mbowe ukimya mkubwa hutawala....Sauti yake ya base ndogo hutoka kwa utaratibu huku ukipambwa na busara ya hali ya juu katika matamshi yake....huwa hayupo kubishana bali kueleza kile anachokiamini na ambacho chama cha demokrasia wanakusudia kufanya!
Nampa Heko sana....

Na zaidi hapendi kushangiliwashangiliwa na kukatizwa anapofunguka kama magamba wanavyopenda mijisifa ya kushangiliwa.
 
kumbe ukiwa muuza dawa za kulevya na kuendesha kumbi za muziki na kuuza pombe unakuwa na busara,

Halafu kumbe ukipanga na kusimamia mauaji ya watu unakuwa na busara kweli tanzania daima hakuna waandishi,

Aliekutuma ukae hapo B. Bar unywe pombe nani? hadi unabwatuka baada ya pombe kuuzingira ubongo wako?Nakuona umekaa na Mhudumu mweupe mweupe kavalia T.Shirt ya Ndovu (Kinana Lager).Nenda home kacheze na mwanao sio unachafua hewa za Great Thinkers.
 
Back
Top Bottom