Mbowe amlipua JK kuhusu katiba mpya

Mbowe amlipua JK kuhusu katiba mpya

Sina hakika kama mbowe anaomba ushauri kutoka kwa watu werevu kabla hajaamua kuongea kwenye public
 
CCM situ kwamba hawataki hoja ya serikali tatu ndani ya katiba mpya bali hawataki kabisa katiba mpya. Anayetaka katiba mpya ni Kikwete yeye binafsi wala si taasisi ya Rais. Kumbuka Mwnasheria mkuu wa Serikali ambaye ni shabiki No1. wa sisiem aliwahi kusema haoni haja kuwa na katiba mpya maana hii iliyopo inakidhi matakwa ya watanzania. Celina Kombani akiwa waziri wa katiba na sheria aliwahi tanka kuwa hakuna mpango wowote wa kuwa nakatiba mpya kwakuwa iliyopo inatosha na kama kunahaja ya kushughulika na jambo lolote basi itafanyiwa marekebisho.

CCM haikuwahi kuwa na agenda ya katiba mpya, hii kikwete aliibua tu katika kutafuta umaarufu na kuacha kichu cha kumfanya akumbukwe. Kwa hilo walau amejaribu ingawa anapambana na vikwazo vingi kutoka katika chama chake.

Akina Lukuvi, Wasira, Chikawe, Werema hao ndio kabisaaaaaaa hawataki kusikia maana hata kusikia JK anawaalika wapinzani Ikulu inakuwa nongwa kwao, wanadhani wapinzani watamaliza juice yote ikulu. Kwahiyo njia iliyobuniwa na wasiotaka katiba ni kuweka utaratibu utakaoruhusu wajumbe wengi wa sisiemu ili watibue mchakato wote.

Wapinzani sasa inabidi kujiandaa kwa plan B ya matokeo ya mchakato wa katiba bila kusubiri matokeo ya kura za maoni. Kuwa endapo ccm watafaulu kuondoa hoja ya serikali tatu, lakini tume ya uchaguzi ikawa huru na baadhi ya vipengele vya kuleta manufaa kwa wanachi vikapita, si bora tupokee hivyo kwanza halafu hatua itakayo fuata ni kuhamasisha wazanzibari wadai ASP yao ili tuone kama TANU haitachomoza, na hapo ndipo msajili wa vyama atakapopata kazi ya kuisajili upya TANU.
 
Sina hakika kama mbowe anaomba ushauri kutoka kwa watu werevu kabla hajaamua kuongea kwenye public

Watu werevu ndo hao wametufikisha hapa ambapo kila mtanzania anadaiwa shs 600,000/- sasa sijui na wewe unajitambua au ndo midaharati inakupa kiburi
 
Mbowe ni miongoni mwa vilaza wanaotumia mabavu kuliko akili.

wewe ni kati ya watanzania wachache sana wanaotumia vichwa kufugia nywele,and i want to advise my friend ushabiki usiokuwa na maana ni bora ukae kimya kabisa,hakuna mtu yeyote hapa Tanzania mwenye hati miliki ya hii nchi,sisi ndo watanzania na ieleweke hivyo,kama wewe ni raia wa kuomba u better keep quite
 

kp31012014.jpg
[/QUOTE]


CHABRUMA CHABRUMA ndo ujanja uliobakia,watu hamfanyi kazi mmebakia kukopa,ngoja mej mliwe mtajijua
 
Watu werevu ndo hao wametufikisha hapa ambapo kila mtanzania anadaiwa shs 600,000/- sasa sijui na wewe unajitambua au ndo midaharati inakupa kiburi

Kweli vilaza mko wengi bavicha! Ishu ni katiba ndio thread inavyosema,sasa deni linakuja vipi hapo! Msukule jitambue, changia hoja kwa mantiki.
 
Hii nchi inatakiwa itawaliwe na watu kama kina Kagame au Nduli Idd Amin!
 
JK mzuri sana kwenye utani,ukimuweka kwenye mambo serious anabaki kung'amua tu.
 
Kwani maoni waliyotolewa,lazima yapite? kama ndo hivyo mchakato wa rasimu hii ya pili UISHIE HAPO ULIPO .
 
Katiba ni lazima serekali tatu pia hata kwa ngumi.
 
Sina hakika kama mbowe anaomba ushauri kutoka kwa watu werevu kabla hajaamua kuongea kwenye public

Mtu wa kupewa ushauri ni kikwete anayeshindwa kutofautisha kati ya katiba za vyama na katiba wa wananchi wa TAnzania. Huwezi kuwa na Mwenyekiti wa ajabu ajabu namna hii na unasema una mwenyekiti!! Kudai serikali mbili iamuliwe na CCM waseme kwa nini ibaki au isibaki na CDM waseme serikali 3 ibaki na isibaki na watoe sababu zao huu ni UHU-NI wa kupindukia!!
 
Kwa mbowe kuheshimu maoni ya wananchi ni kukubaliwa serikali tatu kama anavyotaka yeye na wakati huohuo hakuna ushahidi kuwa wananchi wote wanataka serikali tatu.
Yeye ndo anaforce anachotaka kiwe,wakati jk ashasema hata yeye hajui mwisho kutakubalika serikali ngapi.
Suala la mbowe kurudi kwa wananchi kama matokeo anayotaka yeye hayatapita halina impact kwani limeshazoeleka wao kwenda kuuza sura kwa chopa.
mbowe alitaka serikali ya majimbo ila wananchi wanataka sirikali 3 ndo maana ameheshimu maoni ya wengi
 
Mbowe ni miongoni mwa vilaza wanaotumia mabavu kuliko akili.

Acheni upumbafu,katiba si mali ya ccm!!!! lazima ccm wajifunze kuheshimu maoni ya wananchi! tumechoshwa na brabra za maccm ktk mambo ya msingi kama katiba ya nchi!
 
Matunsi ya nini? kama sio ufinyo wa mawazo

Mbowe hana vilipulio kile kichwa hakina kitu haiwezekani uishie kidato cha nne uje umlipue msomi kama jk sijui ataanzia wapi yeye ishu zake ni muziki tu.

Unaowaita wasomi ndo wanaokuchakachua na kukuacha hoi na utabaki goigoi tunachotaka ni serikali 3 basi huwezi kuvumilia kama unaakili timamu Kuwa zenj wanakatiba yao harafu Tanganyika hamna .wanajitawara kama nchi huru na ndani ya muungano kuna Zanzibar na Tanganyika lkn mpaka sasa Tanganyika wanaihesabu ni Tanzania sasa muungano uko wapi suruhu ni 3tu.
 
Kweli vilaza mko wengi bavicha! Ishu ni katiba ndio thread inavyosema,sasa deni linakuja vipi hapo! Msukule jitambue, changia hoja kwa mantiki.

hamuwezi kupuuza maoni ya watz eti kwa maslahi ya wezi wachache maccm! lazima pachimbike mwaka huu!!!!:
 
Back
Top Bottom