kyalankota
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 2,594
- 1,463
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mh. Aikael Mbowe amemkaribisha rasmi Edward Lowassa kwenye chama hicho.
Amesema CHADEMA ni chama cha watanzania wote, ameongeza kusema kuwa mgombea yeyote atakayewakilisha UKAWA ndiye atakayekuwa rais.
Chanzo: Habari Magazetini.
safari yamatumaini ipo ukawa pekee karibu mpambanaji
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mh. Aikael Mbowe amemkaribisha rasmi Edward Lowassa kwenye chama hicho, amesema Chadema ni chama cha watanzania wote ameongeza kusema kuwa mgombea yeyote atakayewakilisha UKAWA ndiye atakayekuwa rais.
Chanzo: Habari Magazetini.