VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
poor reasoning.This issue was planned na target kubwa ilikuwa ni polisi nao weingia mkenge wametegeka.Sidhani kama kulikuwa na safari ya kwenda Dodoma Bavicha.Ilikuwa ni mbinu tu kuwa Bavicha watatangaza kwenda Dodoma then Polisi watajibu mapigo then Mbowe atawakataza.Finali CDM nao wataendeleza mikutano yao ya ndani kama CCM tu.Hata ikiwezekana watafanya na hadhara pia.
Give yourspoor reasoning.
incompatible.Give yours
Tunataka kwanza mkutano wetu ufanyike baada ya hapo kibano na katazo linaendeleachadema wametimia Akili kidogo ili kujua upumbavu wa polisi, mpaka sasa polisi wameisha yakana matamko yao ya awali,
Sasa huo si ndio ujinga waliokuwa wanataka udhibitishwe?Tunataka kwanza mkutano wetu ufanyike baada ya hapo kibano na katazo linaendelea
kama ni mbinu basi ni mbinu za kitoto,ukitaka kuwa kiongozi thabit ni lazima uwe na KAULI THABIT(you must be the man of your words),vinginevyo jitayarishe kudharaulika na kutokuaminiwa pindi utakapokuja na kauli nyingine.This issue was planned na target kubwa ilikuwa ni polisi nao weingia mkenge wametegeka.Sidhani kama kulikuwa na safari ya kwenda Dodoma Bavicha.Ilikuwa ni mbinu tu kuwa Bavicha watatangaza kwenda Dodoma then Polisi watajibu mapigo then Mbowe atawakataza.Finali CDM nao wataendeleza mikutano yao ya ndani kama CCM tu.Hata ikiwezekana watafanya na hadhara pia.
Akili itakapokurudia itakuwa ishakuwa too late......kaogopa kipigo cha polisi.
......kaogopa kutofautiana na mwenye chama (maana alikuuza kwa bil kazaa)
Mwenye kauli thabiti uko nyuma ya keyboardkama ni mbinu basi ni mbinu za kitoto,ukitaka kuwa kiongozi thabit ni lazima uwe na KAULI THABIT(you must be the man of your words),vinginevyo jitayarishe kudharaulika na kutokuaminiwa pindi utakapokuja na kauli nyingine.