Ni hasara kwa upinzani kwa kuwa ili kuwawin watu katika siasa ni muhimu sana kujijengea kuaminiwa na wafuasi wako kwa maana ya kwamba kauli na matendo yako viende sambamba,ukitoa tamko la msisitizo lisifuatiwe na kuufyata mkia "wazee"wanapobweka,na hili linawezekana tu iwapo tamko husika lina nguvu ya hoja,wameufyata kwenda DOM kwa kuwa wamegundua kwamba walikurupuka kuapa kwenda huko kuzuia mkutano halali kwa hiyo ilikuwa ni tamko la hoja za nguvu badala ya nguvu ya hoja, na kimsingi kitendo cha kuzuia mkutano halali wa CCM ni kitendo ambacho kiko nje ya uwezo wao BY FAR.Wameona wataishia kuchomolewa nyonga na "kunyea debe"kwa ukaidi usiokuwa wa lazima...Hata hivyo nampongeza KUB kwa "kuona mbali",ila next time wanapokuja na matamko kwenye public wawe na uhakika na wanachokifanya badala ya kubahatisha bahatisha na kujaribu jaribu,TUKO AWAMU YA KAZI,hakuna DEKO wala MAHABA.