Mbowe ametutega, hatatupata lakini atapata

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,800
Mbowe amewataka BAVICHA kutokuja hapa Dodoma na kuzuia mkutano wetu wa tarehe 23 mwezi huu. Kwakuwa Mbowe ni Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA,BAVICHA watapaswa kutii na kutekeleza bila kujieleza.

Katazo la Mbowe lina mtego. Mbowe namjua. Ni mwanasiasa hasa. Kauli na matendo yake ya kisiasa,si ya kuyapongeza au kuyabeza kwa haraka zisizo na baraka. Mbowe amewatega watawala. Amewatega CCM. Anataka tumpongeze au kumuona ni muoga. Kwamba anatuacha tujidai tutakavyo.

Mbowe ni mwanasiasa mahiri,jasiri na mbunifu. Ameiva na kukomaa. Anajua kuwa kuachwa huru kwa CCM ni kuachwa huru wote. Anajua kuwa CCM tukifanya mikutano yetu,CHADEMA na wengineo hawatazuilika kufanya mikutano yao. Ni mahesabu ya kupata jawabu la kisiasa.

CCM hatutegeki kwa kauli ya Mbowe. Lakini,tuna hakika,atapata anachokilenga: mikutano huru ya kisiasa ya ndani na nje!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
 
......kaogopa kipigo cha polisi.
......kaogopa kutofautiana na mwenye chama (maana alikuuza kwa bil kazaa)
 
This issue was planned na target kubwa ilikuwa ni polisi nao weingia mkenge wametegeka.Sidhani kama kulikuwa na safari ya kwenda Dodoma Bavicha.Ilikuwa ni mbinu tu kuwa Bavicha watatangaza kwenda Dodoma then Polisi watajibu mapigo then Mbowe atawakataza.Finali CDM nao wataendeleza mikutano yao ya ndani kama CCM tu.Hata ikiwezekana watafanya na hadhara pia.
 
Hapa ndipo CDM imefikia, hawajui wanachokitaka, ni kudandia dandia tu matukio, 2020 si mbali kuna watu watakuja na visingizio lukuki kwa nini wamepoteza majimbo. VUTA-NKUVUTE wafikishie ujumbe Bavicha, kama wameshindwa kazi wamurudishe Heche alifanya mengi ya maana na sio uhuni uhuni huu.
 
This issue was planned na target kubwa ilikuwa ni polisi nao weingia mkenge wametegeka.Sidhani kama kulikuwa na safari ya kwenda Dodoma Bavicha.Ilikuwa ni mbinu tu kuwa Bavicha watatangaza kwenda Dodoma then Polisi watajibu mapigo then Mbowe atawakataza.Finali CDM nao wataendeleza mikutano yao ya ndani kama CCM tu.Hata ikiwezekana watafanya na hadhara pia.
poor reasoning.
 
kama ni mbinu basi ni mbinu za kitoto,ukitaka kuwa kiongozi thabit ni lazima uwe na KAULI THABIT(you must be the man of your words),vinginevyo jitayarishe kudharaulika na kutokuaminiwa pindi utakapokuja na kauli nyingine.
 
Mwenye kauli thabiti uko nyuma ya keyboard
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom