Mbowe alivyomuibua Lijualikali hadi sasa ni Mkuu wa Wilaya

Kumbe Mwanzoni alikuwa mikono nyuma anatia huruma,

Ila sasahivi mikono mbele Kama Inzi anajifanya ananawa.
 
Wakati anaibuliwa alikuwa Pimbi kweli
Screenshot_20210622-145105.png
 
Wahenga wanasema kuwa tenda wema usingoje shukrani.

Ndiyo msemo inabidi mh Mbowe na wana Chadema kuukubali na kuutumia ili maisha yaendelee.

Huyo hapo chini ni ndugu Lijualikali ambaye sasa ni mh DC. Ambaye aliibuliwa na kutengenezwa na Chadema.

Kweli dunia ni msongamano.

View attachment 1826241
Mr Mbuwe is shrewed, very shrewed. Huyu Lijualikali kijana machachari kipenzi cha watu alimuona atamfaa uwekezaji kilimo Kilombero kununua tractor. Akapeta, akapata na kutimaalum, wote wawili wakistahili mkopo wa Toyota VX kwa unafuu wa kodi TRA. Badala yake likanunuliwa tractor la kilimo tajwa na VX ya pili ikaenda hedikota matumizi binafsi. Kuona hivyo vitimaalum akalalamika lakini Lijua yeye akatoka kabisa.
 
Wahenga wanasema kuwa tenda wema usingoje shukrani.

Ndiyo msemo inabidi mh Mbowe na wana Chadema kuukubali na kuutumia ili maisha yaendelee.

Huyo hapo chini ni ndugu Lijualikali ambaye sasa ni mh DC. Ambaye aliibuliwa na kutengenezwa na Chadema.

Kweli dunia ni msongamano.

View attachment 1826241
Kwahiyo braza, kumuandaa au kumpika mtu awe kiongozi wa kuwakilisha watu kwa manufaa ya watu ni kumsaidia huyo mtu mmoja personally sio kuwasaidia watu wanaowakilishwa, kweli itikadi za wanasiasa zama hizi zimeflip kibabe sana yani, kwamba mtu akiwa kiongozi ndio kula shavu yani. Plz plz tujaribu kuwa na hata chembe ya uzalendo basi tusipende kupersonalize sana issues nadhan mtoa mada ungekuwa na hata some tints of patriotism usingepersonalize hili swala kiasi hiki na kusingekuwa na mada yenye theme hii yaan nimesoma hadi nimeshtuka kumbe Chadema mpo selfish kiasi hiki ndio maana nilimsikia Goodluck Mlinga akisema huyu mwenyekiti wenu anawafanyia madudu viongozi wake.
 
Weka hapa pia jinsi huyo Mr Hai wenu naye alivyoibuliwa na wengine, sawa!??? Msitufanye hatuna akili. Usidhani asingemwona basi hadi leo angekuwa ground zero. Pengine kwa kitendo cha kuassociate na mtufaha wenu huyo,
Mheshimiwa Lijualikali amekwamishwa kukubwa kupiga hatua kubwa na muhimu; huenda asingekutana naye, sasa hivi angekuwa anajiandaa kuukwaa Urais 2025. Shame on you!
Huyu aliibuliwa na baba yake aliyekuwa anamfadhili Julius Nyerere. Kwa kifupi Mr Hai matawi ya juu tokea alipozaliwa, kajikuta huko kwenye neema.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Wahenga wanasema kuwa tenda wema usingoje shukrani.

Ndiyo msemo inabidi mh Mbowe na wana Chadema kuukubali na kuutumia ili maisha yaendelee.

Huyo hapo chini ni ndugu Lijualikali ambaye sasa ni mh DC. Ambaye aliibuliwa na kutengenezwa na Chadema.

Kweli dunia ni msongamano.

View attachment 1826241
Si hawa chadema ndio walikua wanamtuka Lijua likali alivyoliwa na wajumbe au wamebadilika?
 
Kaisha pandisha mabega KWA chadema, dunia na watu wake ina mambo,
 
Kwahiyo braza, kumuandaa au kumpika mtu awe kiongozi wa kuwakilisha watu kwa manufaa ya watu ni kumsaidia huyo mtu mmoja personally sio kuwasaidia watu wanaowakilishwa, kweli itikadi za wanasiasa zama hizi zimeflip kibabe sana yani, kwamba mtu akiwa kiongozi ndio kula shavu yani. Plz plz tujaribu kuwa na hata chembe ya uzalendo basi tusipende kupersonalize sana issues nadhan mtoa mada ungekuwa na hata some tints of patriotism usingepersonalize hili swala kiasi hiki na kusingekuwa na mada yenye theme hii yaan nimesoma hadi nimeshtuka kumbe Chadema mpo selfish kiasi hiki ndio maana nilimsikia Goodluck Mlinga akisema huyu mwenyekiti wenu anawafanyia madudu viongozi wake.
Ccm mlikwisha waandaa wangapi?
 
Si hawa chadema ndio walikua wanamtuka Lijua likali alivyoliwa na wajumbe au wamebadilika?
Cdm baba lao ndiyo maana mama Samia hana kinyongo nao kama alivyokuwa anafanya jiwe
 
Mkuu kuna msemo wa tenda wema nenda zako.
Kabisa, ndo maana mungu akatuumba KWA mfano wake ,lakin akaona aweke limit ya kuishi , alijua Kuna maali kwa binadam Kuna Kuna bolt hakuzikaza vizuri , kwamba bila kizazi flani toweka na kuja kingine Dunia ingekua mvulugano
 
Kila mtu ana sehemu na mikono anayopitia ili kufika mahala Mungu alipompangia.
Kumuibua mtu sio kwamba awe mtumwa wako,
Kweli kabisa mama D. Ingekuwa rahisi angeibua kwanza ukoo wake wote... Mbowe na chama chake kinahitaji sana watu kuliko watu wanavyokihitaji chama.... hajafika level ya kujiinua.. CCM pekee ndo kubwa kuliko mtu mmojammoja. Hivi Mama D umeolewa?
 
Back
Top Bottom