Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,174
- 143,960
Hahahaa! Thanks my guy!You were right dude!
Yessir.....πSio dhambi. Agiza coca baaaaaaaridi nakuja kulipa
No commentGilesi nini hiyo?
πHongera kwa hilo.
Ukiwa smart katika jambo fulani, watu smart watakuelewa na kujifunza kwa hilo.
I wasn't born last night. Let's wait and see how long the decision is going to stay relevant.You were right dude!
What decision?I wasn't born last night. Let's wait and see how long the decision is going to stay relevant.
Kususia uchaguzi wowote utakaoandaliwa na tume hii ya uchaguzi.What decision?
Toka 2005 mimi huo ndo umekuwa msimamo wangu.Kule Twitter CHADEMA na baadhi ya wanaharakati muda mrefu wameshasema suala la kutokuwa na imani na chaguzi zozote chini ya NEC hata kama kuna mabadiliko ya uongozi! Na hili lilishika kasi zaidi baada ya ACT kutaka kushiriki uchaguzi wa Muhambwe. Kwahiyo Mbowe kakubaliana na CHADEMA na Wanaharakati wengine. Sasa kama na wew ni mmoja ya hao wanaharakati, basi jibu ni sawa, amekubaliana na mwanaharakati wewe vilevile.
Yeah.Kususia uchaguzi wowote utakaoandaliwa na tume hii ya uchaguzi.
Wameuchukua ushaur wako kwa sabab jamaa wamenusa kuwa Bi Mkubwa ni mwepes kumtikisa lkn km Bi Mkubwa akikaza bila shaka 25 hasusi MTU.Toka 2005 mimi huo ndo umekuwa msimamo wangu.
Matter of fact, ni tokea 1995.
Nishasema kuwa ilikuwa ni makosa kuingia kwenye mfumo wa vyama vingi bila katiba mpya na tume mpya ya uchaguzi iliyo huru!