ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,362
- 4,125
Ifikie hatua na Mbowe apishe damu mpya kwenye uongozi wa chama, ameshachafuliwa sana kwa tuhuma mbalimbali zinazokatisha tamaa sisi tusiokuwa makada kindakindaki wa vyama vya siasa. CDM ina hazina kubwa sana ya watu, mzee akubali tu kubaki mshauri wa chama.