Mbowe akimpongeza Rais - Video

TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
11,513
11,276


My Take: Kitendo cha Mbowe (CHADEMA) kumpongeza Rais ni sawa kabisa na kumkubali Indirectly, namuunga mkono Pasco kwa hili.
 
Last edited by a moderator:
Upo pamoja na mimi nashindwa kuelewa aombe radhi kwa lipi! Hivi ina maana Arusha wale waliondokewa na wapendwa wao wamesahau machungu ya kuondokewa vipenzi vyao? Mie siamini haya ndio yaliyotokea Zanzibar wale viongozi wamesahau damu ya watu waliokufa kwa ajili ya ulwa wao leo wao wanauheshimiwa wenye ndugu wana mayatima.


Our country has too many politicians and too few statesmen. While the statesmen are concerned with the next generation, the politicians are terribly concerned with the next elections.
 
Back
Top Bottom