Mbowe akija kuwa Rais, Itakuwaje kwa watesi Wake?

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,882
35,899
Dunia duara na wengine husema dunia mzunguko.

Walikuwapo kina Mandela, Kenyatta, Nyerere hata huyu wa Zambia. Katika harakati zao wakajitanabaisha ana kwa ana na watesi wao hadi jela zikawahusu.

Mungu si Athumani hivi nyote hata bila kuyataja majina yenu mnazijua hatima za watu wote?

Au ni yale yale ya kumlaumu Hamza Kasongo bila ya kuwa na neno lolote kwa madhulumati?

Dunia huzunguka na aliyekupa wewe leo ni huyo huyo aliyemnyima mwingine leo. Kwanini kutengeneza mazingira ya unasema wa kudumu?

Kwanini tusiwatendee wengine yale tu ambako tungependa wenyewe kutendewa?
 
Kwani umesikia mbowe anataka urais?
 
Hahahahahaaa

hahahahahaaaa

hahahahaaaaaaaaaaaa
 
Mchagga kuwa Rais ngumu mno. Hata aende ccm hatapewa kugombea nafasi ya urais. Binafsi sipendi litokee hilo la mchagga kuwa rais. Ndugu zangu mtanisamehe, my opinion
 
Amka kumekucha, kuna ndoto zingine ngumu kutokea.
Nisiache kukumbusha kuwa jina Mbowe linasimama kwa niaba yake na washirika wake wote. Yeye akiwa hai, jela, huru au akiwa mfu, leo au hata baada ya miaka Mia.

Acheni kushupaza shingo kama wale kenge madhulumati wa Hamza Kasongo.
 
Duh! hapa nakwambia ukweli ndugu sishupazi shingo,

Kuna watu, nafasi flani haiwafai

Vinginevyo tutauzwa kwa vipande vya fedha.
 
Duh! hapa nakwambia ukweli ndugu sishupazi shingo,

Kuna watu, nafasi flani haiwafai

Vinginevyo tutauzwa kwa vipande vya fedha.

Kwani wale kenge madhulumati wa Hamza Kasongo hawakuwa wakisema atawapata wapi?
 
Aliyekwambia anaongoza malaika unamsdiki?
Huitaji kuambiwa. Tabia za malaika na shetani zinajulikana. Kwa matendo yao mtawatambua. Matendo ya Mbowe na ugaidi wake tunautambua, ndiyo maana sasa hivi ananyea ndoo gerezani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…