Mbowe akija kuwa Rais, Itakuwaje kwa watesi Wake?

Dunia duara na wengine husema dunia mzunguko.

Walikuwapo kina Mandela, Kenyatta, Nyerere hata huyu wa Zambia. Katika harakati zao wakajitanabaisha ana kwa ana na watesi wao hadi jela zikawahusu.

Mungu si Athumani hivi nyote hata bila kuyataja majina yenu mnazijua hatima za watu wote?

Au ni yale yale ya kumlaumu Hamza Kasongo bila ya kuwa na neno lolote kwa madhulumati?

Dunia huzunguka na aliyekupa wewe leo ni huyo huyo aliyemnyima mwingine leo. Kwanini kutengeneza mazingira ya unasema wa kudumu?

Kwanini tusiwatendee wengine yale tu ambako tungependa wenyewe kutendewa?
Hana kisasi huyu ndg
 
Kwa jinsi alivyokaa muda mrefu kwenye uenyekiti wa cdm huyu mwamba akiwa rais anaweza kuwa paul biya yule rais wa cameroon

Umemsahau aliyepanga kuwa wa maisha kuliko hata Paul Biya?

IMG_20210821_093125_815.jpg


Ashukuriwe bwana wa majeshi
 
Unaona, wengine wanelala lakini kiongozi shujaa wa Tanzania yeye amesimama. Hata akifariki, kiongozi shujaa anaendelea kusimama popote pale alipo.. Unaona alivyosimama kishujaa!! RIP shujaa wa Tanzania

Nikadhani ni malaika kiongozi?
 
Back
Top Bottom