Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,079
- 4,893
Mbona mnateseka sana Simlisema MAGUFULI KAIUA CHADEMA SASA IFE MARA NGAPI? NI KICHAA TU NDIO ANAWAZA KAMA WEWEMbowe yuko maabusu, Lissu na Lema wako uhamishoni.
Je, huu ndio mwisho wa CHADEMA?
Kabisa Mkuu.kwa fuvu gani ambalo litayaweza mawe makubwa hivyo? Atawamwaga ubongoUnaombwa uwapige Kwa kutumia mchanga badala ya mawe makubwa mwisho utawamwaga ubongo buree🏃.
Bro katiba mpya sio mwarobaini wa siasa za vyama vingi, hata Marekani bado wanalia na tume Yao ya uchaguzi. Katiba yetu ya Sasa inaruhusu uhuru wa vyama kufanya siasa muda wake lakini uhuru huo umepokwa na watu kwa sababu ambazo ziko nje ya Katiba. Namshangaa sana mtu anapodai Katiba mpya kwa nguvu zake zote. Viongozi wa Africa hawafuati yaliyomo kwenye Katiba na wanaweza hata kuzibadilisha katiba kwa manufaa Yao.Tuliza akili huenda ukawaelewa chadema kuliko wengine wote na hata ukawa mwanachama mwaminifu na mzalendo, wasichotaka chadema ni kushiriki chafuzi badala ya uchaguzi, dai la msingi ni katiba mpya ya wananchi ambayo ndani yake inapatikana tume huru ya uchaguzi. Kurudi bila wasiojulikana kujulikana na hatua kuchukuliwa bado inaweza isiwe salama, kwani anayokumbukumbu ya ulemavu aliosababishiwa na ambao hakuna aliyefanya chochote hadharani hata tu kukemea uhalifu ule wa viwango vile, zaidi ya kejeli na kebehi za wazi. Na zaidi kejeli na kebehi zikachagizwa na dhuluma ya haki zake za msingi Kwa visingizio vya wachache sijui kwa utashi wao au kwa maelekezo. wewe unasemaje mwenzetu kama binadamu wa kawaida bila kuzingatua mamlaka au wadhifa ulionao🤔.
Una kaubishi fulani akina mama wanauita "amazing"!Wewe huoni au unataka sifa TU. Chama hakishiriki kwenye chochote Sasa hivi hadi mbowe aachiwe bila mashariti, Sasa hata mnyika ni haramu kishiriki kwenye chochote hadi mwenyekiti atoke bila mashariti, Use and disuse effect. Asiyekuwepo machoni na moyoni hatakuwepo.
Chama ni Imani na Imani inarithiwa na vizazi. Hawa watoto ambao ndo wanaanza kupata akili Sasa hivi hawajui kama Kuna chadema, maana hakionekani mitaani Wala kwenye media. Kimebakia kuwa Chama Cha kwenye yu-tube.
Lisu na Lema kuishi nje ya Nchi kunaua chama, vijana wanakata tamaa, hasa wale ambao hawana uwezo wa kwenda kuishi nje ya Nchi kama Lema na Lisu kama mambo yataharibika nchini. Watasema present is known and secure.
Ubarikiwe sana mkuu... Chadema itakufa mara tu mbingu zitakapotoweka; lakini kwa hakika, kama Mbingu ziishivyo, Chadema itadumu. Mungu atawainulia kiongozi mwingine atakayewaongoza.
Watashirikishaje ubongo wao wakati kila wanachokiandika hapa wanapewa na Shaka?Nani aliyekuambia kuwa Mbowe ,Lissu na Lema ndio Chadema?
Muwe mnashirikisha vizuri kichwa na ubongo.
Amina na wape salaaam wana lumumbaTangu muimbe Chadema itakufa miaka inaenda,
kwa taarifa yako waambiwe chawa wenzako wa Lumumba ,Chadema ipo na itaendelea kuwepo .
Wachana na chawa wa ccm walioingia jf baada ya uchaguzi wa 2015Kwanini ife?
Kwani Mbowe ndo mwenyekiti wa kwanza kuongoza CHADEMA?!
Au umeanza kufuatlia siasa baada ya kuingia simu za Kichina zenye internet access?
Inabidi ujiulize akifungwa kwa kesi mbovu hivi itakuwaje kwa jamii ? sio Mbowe au Chadema bali jamii. Kama unafikiria hii kesi ni ya Chadema pekee hufahamu nchi vizuriMbowe yuko maabusu, Lissu na Lema wako uhamishoni.
Je, huu ndio mwisho wa CHADEMA?
Kwani leo hii siyo zamu ya kulinda kaburi?Nilikuwa nami najua hivyo, lakini kumbe sivyo bhana, chadema inaonekana kama imeparalyse kabisa, haishiriki kwenye chochote eti kwakuwa mwenyekiti wao Yuko mahabusu na akina Lisu wako uhamishonii. Hawashiriki kwenye chaguzi ndogo Wala kwenye mazungumzo na hayo sio maamuzi ya mkutano mkuu wa chadema bali ni maamuzi ya viongozi wachache wa chadema.
Mh. Lisu kasema harudi mpaka ahakikishiwe kupewa na serikali ma body guards wa kumlinda binafsi, je sharti hili lisipotimizwa na mbowe akifungwa ndiyo chadema imekufa?
Utalinda kaburi hadi Yohana atakapo rudiKwanini ni hapana? Sasa hivi chadema haishiriki kwenye chochote hadi mwenyekiti atoke bila mashariti na 2025 inakaribia.
Wewe nenda ukachunge nguchiro kwenu burigiWewe huoni au unataka sifa TU. Chama hakishiriki kwenye chochote Sasa hivi hadi mbowe aachiwe bila mashariti, Sasa hata mnyika ni haramu kishiriki kwenye chochote hadi mwenyekiti atoke bila mashariti, Use and disuse effect. Asiyekuwepo machoni na moyoni hatakuwepo.
Chama ni Imani na Imani inarithiwa na vizazi. Hawa watoto ambao ndo wanaanza kupata akili Sasa hivi hawajui kama Kuna chadema, maana hakionekani mitaani Wala kwenye media. Kimebakia kuwa Chama Cha kwenye yu-tube.
Lisu na Lema kuishi nje ya Nchi kunaua chama, vijana wanakata tamaa, hasa wale ambao hawana uwezo wa kwenda kuishi nje ya Nchi kama Lema na Lisu kama mambo yataharibika nchini. Watasema present is known and secure.
Chadema gani tena jamani mbona ilikufa na mwendazake!Mbowe yuko maabusu, Lissu na Lema wako uhamishoni.
Je, huu ndio mwisho wa CHADEMA?
Acha kunidanganya labda uwadanganye wadanganyika wale wa mwaka47. Kama ziro ana uhuru wa kukiuka katiba kwa anayetoa mawazo Kwa uhuru unaotolewa kwenye katiba na akaukanyaga uhuru wa mtu huyo, je vipi mwenye mamlaka zaidi yake, je katiba haitoi uhuru wa kukusanyika, ndani ya katiba chakavu karibia miaka Saba chama 💰kimejipa uhuru wakufanya Yale waliyoyaharamisha Kwa vyama vya siasa vilivyo anzishwa Kwa mujibu wa katiba.Bro katiba mpya sio mwarobaini wa siasa za vyama vingi, hata Marekani bado wanalia na tume Yao ya uchaguzi. Katiba yetu ya Sasa inaruhusu uhuru wa vyama kufanya siasa muda wake lakini uhuru huo umepokwa na watu kwa sababu ambazo ziko nje ya Katiba. Namshangaa sana mtu anapodai Katiba mpya kwa nguvu zake zote. Viongozi wa Africa hawafuati yaliyomo kwenye Katiba na wanaweza hata kuzibadilisha katiba kwa manufaa Yao.
Hivyo, kitakacholeta nafuu sio katiba mpya bali nguvu ya umma inayofahamu haki zao. Nguvu ya umma inajengwa kwa vitendo sio kwa kutoroka nchi, kutoroka nchi na kwenda kubwekea nje kunawatia woga wananchi wenye mawazo mbadala, makaburi ya watu wenye mawazo mbadala lazima yawe hapahapa Tanzania.
Inawezekana usijue hata mfumo ulivyo.Wewe huoni au unataka sifa TU. Chama hakishiriki kwenye chochote Sasa hivi hadi mbowe aachiwe bila mashariti, Sasa hata mnyika ni haramu kishiriki kwenye chochote hadi mwenyekiti atoke bila mashariti, Use and disuse effect. Asiyekuwepo machoni na moyoni hatakuwepo.
Chama ni Imani na Imani inarithiwa na vizazi. Hawa watoto ambao ndo wanaanza kupata akili Sasa hivi hawajui kama Kuna chadema, maana hakionekani mitaani Wala kwenye media. Kimebakia kuwa Chama Cha kwenye yu-tube.
Lisu na Lema kuishi nje ya Nchi kunaua chama, vijana wanakata tamaa, hasa wale ambao hawana uwezo wa kwenda kuishi nje ya Nchi kama Lema na Lisu kama mambo yataharibika nchini. Watasema present is known and secure.
Ikifa si ndo vzr Sasa mnapenda Lumumba,,au mwendazake hakuiuaMbowe yuko maabusu, Lissu na Lema wako uhamishoni.
Je, huu ndio mwisho wa CHADEMA?
Pamoja na punda waliohamishiwamo🏃.Wewe nenda ukachunge nguchiro kwenu burigi
Mbona ccm haijafaMbowe yuko maabusu, Lissu na Lema wako uhamishoni.
Je, huu ndio mwisho wa CHADEMA?