Mbowe ajeruhiwa vibaya na vijana wa CCM akimbizwa Marekani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbowe ajeruhiwa vibaya na vijana wa CCM akimbizwa Marekani

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by HIMO ONE, Oct 20, 2010.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. HIMO ONE

  HIMO ONE Senior Member

  #1
  Oct 20, 2010
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Freeman Mbowe amejipendekeza mikononi mwa vijana mahiri wa CCM na kupewa kichapo havi hadi kupoteza fahamu leo Masama Hai.Hali hiyo imepelekea mkuu huyo wa CHADEMA kuwahishwa USA through Pretoria sijui kama atashiriki uchaguzi.CCM soo wana vijana wa JWTZ wanapiga ile mbaya.
   
 2. h

  hagonga Senior Member

  #2
  Oct 20, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 141
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Lol! hii laana kweli, why this now!
   
 3. M

  Mkulima mimi JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2010
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 233
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Haya tena makubwa! Mwand?shi sijakuelewa kajipendekeza kiaje! Hapa umen?acha mkuu!
   
 4. F

  Fikra Pevu Senior Member

  #4
  Oct 20, 2010
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tupe full info ili tusiwe na shaka
   
 5. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Natamani uwe uzushi.......tupe details.
   
 6. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Yaani hadi kapelekwa USA kupitia Pretoria, JF hakuna hata mtu mmoja anafahamu?

  Mods, FUNGENI hii IP Milele......
   
 7. Mlalahoi

  Mlalahoi JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2010
  Joined: Aug 31, 2006
  Messages: 2,065
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Hivi una akili timamu?Unajua tofauti za kiitikadi hazitufanyi tugeuke Wahutu na Watutsi,kiasi kwamba wahuni wanapomjeruhi raia asiye na hatia anajitokeza mpumbavu wa kushabikia kama ufanyavyo.

  Umenufaika na nini baada ya wahuni hao unaowasifia kumjeruhi Mbowe?
   
 8. e

  emalau JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2010
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 1,177
  Likes Received: 272
  Trophy Points: 180
  Hiyo ndo amani na utulivu !
   
 9. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #9
  Oct 20, 2010
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  HUU NI UWONGO!

  Muda si mrefu nimeongea nae kwenye simu na atakuwa Dar es Salaam kesho.

  Habari za uwongo hazina nafasi hapa
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...