Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

ata tetes za edo kuhamia chadema zilianza hivihivi watu wakatokwa na povu
 
View attachment 300610
Mtu na baba mkwe ake walikula mkwanja du, ni hatari

Chadema wote wapiga dili, kama wamechangamkia pesa ya Lowasa wote ss wanasema Lowasa si fisadi hadi Sumaye na yy anasema hivo, ila kwa kweli wanawaona watz ni mbumbumbu sana na kwa kuwa watu wengi hawatunzi kumbukumbu za viongozi wetu waloamia chadema na waliomo chadema, Hasa Sumaye na Mbowe
 
Watu wanajiendekeza tu kwani unafikiri wamesahau matusi waliyomwagia Lowassa akiwa CCM? Hivi ndani ya miezi 2 utawezaje kupiga U turn katika msimamo wako kwa dhati? Kwa Mbowe, Msigwa na Lissu ni suala la pesa hili liko wazi. Lakini kwa upande wa washabiki ni kwamba wameamua kujivua ufahamu na kuingizwa kichakani na Mbowe.
 
Ni chini ya miezi tisa
 
Eti wanasema ilikuwa bahati mbaya na wanajuta, hela mbaya aisee
 
mbowe kauza chama sasa kaamnza kuhamisha pesa zake ili akishindwa tu kwenye uchaguzi atimuke na familia yake acheni kuifatamkumbo vijana wenzangu nbowe hana nia nzuri na nchi yetu hii iliyojaa amani
 
mbowe kauza chama sasa kaamnza kuhamisha pesa zake ili akishindwa tu kwenye uchaguzi atimuke na familia yake acheni kuifatamkumbo vijana wenzangu nbowe hana nia nzuri na nchi yetu hii iliyojaa amani

Mbowe ni msaka pesa tu, sijawahi kumwamini kwa misimamo yake, isitoshe anajua sana siasa za Sanaa.

Anachokiongea na anachomaanisha tofauti.
 
Mbowe ni msaka pesa tu, sijawahi kumwamini kwa misimamo yake, isitoshe anajua sana siasa za Sanaa.

Anachokiongea na anachomaanisha tofauti.

kumwamini mbowe ni sawa na kumwachia paka maziwa ayalinde ilihali ana njaa, haitakuja kutokea nikamwamini hata siku moja
 
Kaka lisemalwo lipo na kama halipo laja tambua haya makala yalitolewa toka mwaka 2013 na mwaka huu yamnetokea kweli mbowe ameuza chama kwa edo sasa mtu kama huyu ni wakuogopwa sana anaweza hata kutuuza endapo tu akaingia madarakani
 
Ramli ni ya kweli kabisa toka 2011 hadi 2015
Yametokea
Aende zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…