Mbowe admits failure to declare assets

walipom-detain walimpa chakula gani?
 
Nadhani ilikuwa ni mbinu ya Mbowe kujinasua kwa yule Mzee (jaji) mind you it was the second time for him to stand before Pilato kwa makosa tofauti.Nimekubali mbinu yake ya mbaazi kukosa maua kwa kisingizio cha jua.Hapa labda Jaji awe "Mechanical" ndio atashughulika nae lakini "organical" lazima huruma itaingia tu japo sheria inatizamwa.

My friend Mbowe,jipange na kuwa makini na system iliyopo usije ukachizika muda si mrefu maake Magamba na miundo mbinu yake inaweza kukufanya "ukaranduka" badala ya "kubanjuka".Am talking as a human being,jamaa mpaka anatia huruma utadhani SOWETO.
 
Sory hivi unauliza au unatoa taarifa inayomuhushu mh. Mbowe? kama ni taarifa jifunze kuweka source ili iwe supportive
 

Teeh..............teeeh....mmmh,hii ya Komba nimeipenda maake inanikumbusha movie moja ya "Delta Force" part II wakati ndege imetekwa na Waarab(Muslim brotherhood) baada ya kukusanya na kuchambua passport za Waisrael waliomo ndani ya ndege hapa majina yalianza kuitwa.Bwana mmoja baada ya kuitwa jina alisikika akilalama kama hivi "you are making a mistake....a big mistake,am not a jewish am from Chicago.....ask...father(huku akimtizama Baba Askofu mmoja aliyekuwa Jirani yake).Hapa Komba anaonekana kulalamikia upotevu wa record zake pamoja na jina lake kuwa ndani ya watuhumiwa!
 
"nimeshindwa kujaza fomu zakutangaza mali zangu kwasababu ya msongo wa mawazo" jamani huyu Aluatani hapa kaniboa siasa imemlewesha au ndo woga umemuingia baada ya kuwekwa kizuizini? Au anaumwa Zittophibiasis? Maana nae alianza hivihivi.
Aingizwe kenye list ya mafisadi, kumbe list haikukamilika!
What a weak defence
 
Ndugu wanaJF Suala la Mbowe kushindwa kuijaza fomu kuelezea utajiri wake si suala la kuwa NA MSONGO WA MAWAZO BALI NI MAELEZO YA WAPI ALIZIPATA MALI HIZO NA HOFU YA NAMNA HII INADHIHIRISHA KUWA KUNA MALI ALIZOPATA KIMAGENDO Kama si hivyo kwanini ahofie wakati ni suala lakuchukua mwanasheria wake nakujaza fomu fasta.
 

hiyo tume ya maadili haina tofauti na takukuru. Je wanao jaza hizo fomu wanajaza kwa uhakika? Tueleze ni lini wafuatao walijaza hizo fomu.
1. Jk
2. Lowasa
3.rostam
4. Ridhiwani
na kama walijaza waliorozesha kampuni zao zote huko na zile zilizo andikwa majina ya ndugu zao?


Watu wengi sana hawajajaza kwani wewe umemuona mboye tu. Kikwete ni lini alijaza hizo fomu? Na mboye hajawahifanya kazi serikalini, na ni ndoto uwe mpinzani wa serikali halafu ufanye biashara kimagendo. Tuambie mtu ambaye ni mpinzani wa ccm halafu anafanya biashara kimagendo. Tra hawawezi kukuchelewesha.
- hizo fomu hazijajazwa na hata nusu ya wabunge na si kwamba kujaza fomu ndo kwamba wewe ni msafi.
Je nini faida ya kujaza hizo fomum?

Umeelewa?
 
polisiii kamata mwizi huyoooooooooooo

nyie ni kama kenge fulani. Unafahamu maana ya kujaza fomu za maadili? Kwani hiyom tume wao wana ordit mali za viongozi?
Acheni uzindiki nepi kawatuma mrete thread zisizo kua na kichwa hapa.
 

mada ya kipuuzi hii , fomu wanazojaza za maadili ni kwa ajili kuweka wazi mali zako na si utajiri , rudi shule kajaribu kujifunza mali na utajiri tofauti yake ni nini
 
polisiii kamata mwizi huyoooooooooooo


Kwa taarifa yako Mbowe amezaliwa with a 'silver spoon'. Pesa iko toka kwa Mbowe Sr na kwa bahati amekuwa na akili ya biashara kwa hiyo ameweza kundeleza rasilimali alizoachiwa pamoja na ku-diversify. Na hata unaweza kuona mchango wake kwenye chama tangu alipochukwa kiti toka kwa Mzee Makani. On the other hand, magogoni wamejaza?
 

awe ana delegate some of the powers kwa assistants wake asiwe na ubahili hahahahahha
 

mama yako ndo muhuni, na huyo bwana yako mwingine aliye kutuma wote ndo wahuni. Nilini kikwete alijaza fomu za maadili?
Kenge mkuu msaidizi wewe.
 
mada ya kipuuzi hii , fomu wanazojaza za maadili ni kwa ajili kuweka wazi mali zako na si utajiri , rudi shule kajaribu kujifunza mali na utajiri tofauti yake ni nini
Hata akirudi shule haitasaidia maana hataelewa huyo. Dalili zote zinaonesha ubongo umesinyaa.
 
Huyu Mbowe hafai kabisa kuwa ktk kambi ya upinzani. Ni aibu kwa kubwa Chedema kuwa na kiongozi asiyeheshimu sheria za nchi. Huyu Mbowe inabidi ajibu mashitaka yote yanayomkabili, na atolewe haraka ktk kambi ya upinzani.
 
Huyu Mbowe hafai kabisa kuwa ktk kambi ya upinzani. Ni aibu kwa kubwa Chedema kuwa na kiongozi asiyeheshimu sheria za nchi. Huyu Mbowe inabidi ajibu mashitaka yote yanayomkabili, na atolewe haraka ktk kambi ya upinzani.

wewe ndo unafaa?! Acha kufikiri kwa tumbo!
 
Kishogo,john10, Tumaini letu,the dirty paka/nyau,Lole Gwakisa na wote kwenye mtando
Wenu wa kuchumia Tumbo. Nawashauri mkajipange vizuri mje na mada zenye Mashiko
, Kwa hili mmepotea maboya hamtafanikiwa kubadilisha waelewa na magreat Thinkers wa JF. Labda meunde vijijini kwa waTZ miliwanyima elimu. Na hata nao siku hizi wame
Elimika. Kamwambieni bosi wenu Nepi akajipange upya
 


Hizi ni chiki binafsi tu, wewe una chuki binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…