Mbowe achunguzwe kwa vifo vya Daniel John na Aquilina

Deo Meck Mbagi

JF-Expert Member
Apr 19, 2015
360
525
Nianze kwa kutoa pole kwa familia ya mwanafunzi Aquilina aliyefariki kwa kupigwa risasi katika maandamano yasiyo na kibali yaliyoongozwa na Mhuni Freeman Aikael Mbowe, namuita muhuni na tapeli kwa sababu namjua hastahili kuitwa Mheshimiwa. Pili nitoe pole kwa familia ya aliyekuwa Katibu wa CHADEMA kata ya Hananasif, Marehemu Daniel John.

1. KUHUSU KIFO CHA DANIEL JOHN, NA MBOWE KUMFICHA SHAHIDI REGINALD MALLYA

Ikumbukwe kabla ya Mbowe kujitokeza na kuongea na waandishi wa habari alikuwa hajaonekana hadharani kwa takribani siku tano hivi.

Alionekana kwenye mkutano huo na waandishi wa habari akituhumu CCM ndio wamemuaa katibu wao huku pembeni akiwa na muathirika wa kutekwa ajulikanaye kwa jina la Reginald Mallya.

Kuna maswali mengi ya kujiuliza kuhusu tukio hilo.

a. Baada ya huyReginald Mallya kutekwa na kufanikiwa kutoroka matekani alienda Polisi au kwa Freeman Mbowe?

b. Reginald Mallya ni nani na alikuwa anafanya nini usiku huo na Daniel John?

c. Je Reginald Mallya aliwezaje kuwatoroka watesi na kumuacha Daniel John akiuwawa?

d. Ni kwa nini Mbowe akawa wa kwanza kujitokeza na kushutumu CCM kuwa ndio wameua? Yeye ana vyombo gani vya uchunguzi na kujua muhusika kama yeye sio mpangaji na mtekelezaji ili baadae asingizie mwingine?

e. Huyu Reginald Mallya ana undugu na Deus Mallya aliyetajwa kuhusika na kifo cha Chacha Wangwe?

KWA NINI FREEMAN MBOWE KAMFICHA REGINALD MALLYA ASIHOJIWE NA POLISI?

Ninazo taarifa za kutoka makao makuu ya CHADEMA kuwa Freeman Mbowe kamficha Reginald Mallya ili asihojiwe na Polisi kuhusu namna walivyotekwa ili kuisaidia Polisi katika kupeleleza juu ya tukio la kutekwa na hatimaye kuwabaini wahusika waliomjeruhi na kusababisha kifo cha Daniel John. Kwa nini Mbowe anamficha shahidi muhimu? Na kwa nini huyu Mbowe awe kifua mbele kuzuia mashahidi muhimu wasihojiwe na Polisi? Yeye anazuia Polisi kufanya kazi zao kwa maslahi gani? Alianza na kumficha Dereva wa Tundu Lissu sasa kamficha huyu Reginald Mallya, kuna jambo hapa na naliomba Jeshi la Polisi limchunguze huyu muhuni.

2. KUPIGWA RISASI AQULINA AKWILINI

Uhai ni delicate (wa thamani sana), na uhai ukiondoka hauwezi kurudi. Narudia kutoa pole kwa familia ya Aqulina Akwilini, na kwa Taifa kwa ujumla kwa kupoteza kijana na zaidi kwa kukatisha ndoto za huyo binti mdogo.

CHANZO CHA KUSABABISHA HAYO

Utaratibu wa maandamano unajulikana nchini, ili uandamane unahitaji kibali cha Polisi, pili Maandamano hayajawahi kufanyika baada ya saa 12 jioni, ndio maana hata mikutano ya vyama vya siasa mwisho wake ni saa 12 jioni. Kwa mujibu wa taarifa ni kuwa Freeman Mbowe aliwahamasisha wafuasi wa chadema waandamane kwenda kwenye ofisi ya Mkurugenzi, na ikumbuke kuwa nchi yetu ni ya utawala wa sheria na kuna vyombo vya ulinzi ambavyo vina jukumu la kulinda na kusimamia amani (to maintain peace and order). Baada ya Polisi kukutana na waandamanaji hao waliwaamuru watawanyike na wao wakagoma, ikabidi Polisi wafanye kazi yao kwa kutumia nguvu maana waandamanaji wakiongozwa na Mbowe walikataa kutii amri halali ya Jeshi la Polisi.

KUNA MATUKIO YALIYOPANGWA NA CHADEMA HAPO AWALI KWA AJILI YA UVUNJIFU WA AMANI

a. Walileta vijana sehemu mbalimbali za Tanzania kwa ajili ya kuwatumia kufanya vurugu na kuleta taharuki, vijana hao walitoka Tarime, Bunda, Serengeti, Kigoma, mbeya, Mwanza baadhi ya maeneo.

b. Kundi la mwisho la vijana toka Serengeti waliingia siku ya jumatano, 14 February na gari ya FALCON inayofanya safari zake kutoka Tarime hadi Dar, ambao ni wataalamu wa kupiga mishale.

c. Baadhi ya vijana walipewa bastola, zingine zikiwa za wabunge. Wengine wakapewa mapanga na wa Tarime na Serengeti wengi walikuwa kitengo cha Mishale.

d. Pia walikuwa na mafuta aina ya Petrol kwa kazi ambayo wangeelekezwa kuifanya.

e. Jana usiku ilikuwa wafanye uhalifu katika maeneo mbalimbali lakini baada ya kuona doria kali na baada ya maandamano yao kutawanywa na Polisi vijana wengi waliogopa kwenda kutekeleza uhalifu waliotumwa kuufanya, na huenda bado viongozi wa chadema hawajakata tama na leo bado vyombo vya ulinzi na usalama vinahitaji kuchukua tahadhari kubwa.

MAZINGIRA YA KUPIGWA RISASI AQULINA AKWILINI.

Taarifa zilitoka kuwa mwanafunzi huyo kapigwa risasi na Polisi, pamoja na taarifa hiyo bado kuna maswali ya kujiuliza, ambayo pia uchunguzi unahitajika kujua ukweli.

a. Kwanza chanzo cha taarifa hiyo ni kipi? Maana kwa mujibu wa sheria za nchi Jeshi la Polisi ndio lina dhamana ya kutoa taarifa, na inatoa baada ya kufanya uchunguzi na ku-establish fact kuhusu tukio husika.

b. Ni nani aliyethibitisha kujua risasi iliyompiga ni ya Polisi?, ni risasi ya silaha gani?

c. Hiyo daladala ilikuwa wapi wakati wa tukio? Ilikuwa na abiria wengine? Ilikwenda wapi baada ya risasi kuingia na kuuwa mmoja wa abiria? Hiyo daladala ina namba gani za usajiri na ni mali ya nani?

d. Ni watu gani wa awali waliohusika kutoa mwili wa Dada huyo ndani ya hiyo daladala?

JE KUNA UWEZEKANO WA CHADEMA KUMPIGA AQULINA RISASI ILI KULISINGIZIA JESHI LA POLISI?

Kwa tunaoijua CHADEMA kwa muda mrefu na tuliofanya kazi toka hakijawa Chama Kikuu Cha Upinzani tunajua viongozi wake, hasa Freeman Mbowe ni mtu wa aina gani, ndio maana kwangu mimi namuona kama muhuni Fulani aliyepata bahati ya kuongoza chama kwa hisani ya baba mkwe wake na mmoja wa wahalifu wakubwa nchini ambaye anavaa ngozi ya kondoo na ndani ni Mbwa Mwitu mkali, katili, asiye na huruma na ambaye yuko tayari kufanya chochote kwa ajili ya kupata pesa na madaraka.

Mbowe alijua kuwa lazima katika maandamano hayo yasiyo na kibali, na yanafanyika kuelekea usiku, na akayapitisha barabara zilipo ofisi za CCM-Kinondoni Mkwajuni, ambapo ndipo palitokea makabiliano ya jeshi la Polisi na waaandamanaji, na kuna taarifa kuwa wafuasi aho wa chadema baada ya kufika ofisi za CCM walianza kuwafanyia fujo wana CCM ambao pia walikuwa wametoka kwenye mkutano wao na kurejea ofisi zao.

Kuna mazingira haya yanaweza kuwa sahihi katika muktadha wa tukio la jana:-

a. Kwa Mbowe na genge lake kujua kuna uwezekano wa wao kukabiliana na jeshi la Polisi, wanaweza kuwa wamemuandaa mtu pindi itokee labsha hiyo basi apige mtu risasi na itakuwa rahisi kusema kapigwa na jeshi na Polisi.

b. Tunahitaji uchunguzi wa kina ili kujua muuaji haswa ni nani na achukuliwe hatua, kama ni wao wenyewe au kama ni jeshi la Polisi pia liwajibike.

c. Maandano yasiyo halali ni kinyume cha sheria, aliyehamasisha watu kufanya maandamano akamatwe na kuchukuliwa hatua kwa sababu bila yeye yaliyotokea yasingetokea.

HITIMISHO

Ni bahati mbaya kuwa na kiongozi wa upinzani tapeli, na muhuni kama Freeman Mbowe. Yeye anahamasiaha maandano na anakuwa wa kwanza kukimbia akiwaacha kwenye mataa watu aliowahamasisha nay eye kukimbia. Tumeona viongozi wa upinzani nchini, nakumbuka Profesa Haruna Lipumba alikuwa akifanya maandamano anakuwa mstari wa mbele, amewahi kukamatwa mara nyingi na amewahi pigwa hadi kuvunjwa mkono katika kukabiliana na Polisi, ila huyu muhuni anakuwa kama KIBWETELE, anahamaisha watu nay eye ni wa kwanza kukimbia, ni mtu muoga na asiye na uwezo wa kuongoza harakati za kudai haki, ni mjasiriamali wa kisiasa na zaidi ya hapo hana utu wala shauku ya kupigania maendeleo.

IKUMBUKWE MWAKA 2011 ALISEMA ana ushahidi Polisi walipiga bomu mkutano wao wa Arusha na kusababisha vifo, akasema ana ushahidi wa video, hadi leo miaka 7 hajawahi kuuonyesha mahali kokote. Hivyo matukio kama hili la 2011 ambapo Chadema walituhumiwa kupiga bomu raia waliohudhuria ili kutafuta huruma na kuungwa mkono kwa kuonyesha wao wanapigania haki sana hivyo wananyanyaswa.

WITO

Jeshi la Polisi mfanye kazi yenu kwa weledi, huyu muhuni anayegharimu maisha ya watu kila siku kwa kigezo cha demokrasia kwa nini mnashindwa kumuwajibisha? Je sisi raia tujue kuwa huenda kuna baadhi ya ninyi Polisi mnaolinda mambo ya hovyo yanayofanywa na huyu muhuni? Je wakitokea wahuni wengine na wakaendelea kulelewa kama huyu Mbowe hii nchi itatawalika na kuwa na amani?

MWISHO KABISA NIRUDIE KUTOA POLE ZA DHATI KWA FAMILIA ZILIZOPOTEZA WENZI WAO NA KUWASIHI WAFANYE MSIBA KATIKA FARAGHA KATIKA KUWASITIRI NDUGU ZAO NA WASIRUHUSU HAWA WAHUNI KUFANYA SIASA KATIKA MISIBA HIYO, WAULIZENI FAMILIA YA MWANGOSI, MKE WA MAWAZO NA WALE WA ARUSHA BAADA YA HAO WAHUNI KUFANYIA ILE MISIBA SIASA KAMA WALIWAHI TEKELEZA WALIYOJINASIBU KUZIFANYIA FAMILIA ZA MAREHEMU. MUNGU AWATIE NGUVU KATIKA KIPINDI KIGUMU MNACHOPITIA KAMA NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI.
 
Watu kama nyie walikuwepo ndani ya ZANU PF na ANC wakiwasifu na kuwatukuza mzee mugabe na utawala wake na hata kwa zuma na utawala wake.

Leo hii tunashuhudia watu wale wale waliokuwa wakisifu na kuabudu tawala hizi wakishangilia na kupiga mavuvuzela na kuimba nyimbo za ukombozi baada ya mzee mugabe na zuma kufurushwa.

Wanadamu unafki ni jadi yetu.
 
majitu kama nyie yanayokubatia wauwaji mnatakiwa mchomwe moto mkiwa hai ili uonje mateso makali .... hivi dhuluma zote, matumizi ya nguvu ya dola pasipo sababu, watu kutekwa, uminywaji wa demokrasia unakuja hapa kuandika haya makando kando ?

huyo mwanafunzi aliefariki(rip) ushahidi upo wazi kabisa na alipigwa risasi hadharani unataka kusema chadema ndio walihusika ? umesikiliza mahojiano ya kamanda mambosasa ? usiwe unakurupuka kwa vijisenti vichache mnavyopewa kulinda uovu, hizi damu zisizo na hatia zinazomwagika zitakuja kuwatafuna siku moja, kila kitu kina mwisho, vyeo, umri, mamlaka vinapita. bora ungekaa kimya sio kuja kutetea maovu hapa.
 
Nianze kwa kutoa pole kwa familia ya mwanafunzi Aquilina aliyefariki kwa kupigwa risasi katika maandamano yasiyo na kibali yaliyoongozwa na Mhuni Freeman Aikael Mbowe, namuita muhuni na tapeli kwa sababu namjua hastahili kuitwa Mheshimiwa. Pili nitoe pole kwa familia ya aliyekuwa Katibu wa CHADEMA kata ya Hananasif, Marehemu Daniel John.

1. KUHUSU KIFO CHA DANIEL JOHN, NA MBOWE KUMFICHA SHAHIDI REGINALD MALLYA

Ikumbukwe kabla ya Mbowe kujitokeza na kuongea na waandishi wa habari alikuwa hajaonekana hadharani kwa takribani siku tano hivi.

Alionekana kwenye mkutano huo na waandishi wa habari akituhumu CCM ndio wamemuaa katibu wao huku pembeni akiwa na muathirika wa kutekwa ajulikanaye kwa jina la Reginald Mallya.

Kuna maswali mengi ya kujiuliza kuhusu tukio hilo.

a. Baada ya huyReginald Mallya kutekwa na kufanikiwa kutoroka matekani alienda Polisi au kwa Freeman Mbowe?

b. Reginald Mallya ni nani na alikuwa anafanya nini usiku huo na Daniel John?

c. Je Reginald Mallya aliwezaje kuwatoroka watesi na kumuacha Daniel John akiuwawa?

d. Ni kwa nini Mbowe akawa wa kwanza kujitokeza na kushutumu CCM kuwa ndio wameua? Yeye ana vyombo gani vya uchunguzi na kujua muhusika kama yeye sio mpangaji na mtekelezaji ili baadae asingizie mwingine?

e. Huyu Reginald Mallya ana undugu na Deus Mallya aliyetajwa kuhusika na kifo cha Chacha Wangwe?

KWA NINI FREEMAN MBOWE KAMFICHA REGINALD MALLYA ASIHOJIWE NA POLISI?

Ninazo taarifa za kutoka makao makuu ya CHADEMA kuwa Freeman Mbowe kamficha Reginald Mallya ili asihojiwe na Polisi kuhusu namna walivyotekwa ili kuisaidia Polisi katika kupeleleza juu ya tukio la kutekwa na hatimaye kuwabaini wahusika waliomjeruhi na kusababisha kifo cha Daniel John. Kwa nini Mbowe anamficha shahidi muhimu? Na kwa nini huyu Mbowe awe kifua mbele kuzuia mashahidi muhimu wasihojiwe na Polisi? Yeye anazuia Polisi kufanya kazi zao kwa maslahi gani? Alianza na kumficha Dereva wa Tundu Lissu sasa kamficha huyu Reginald Mallya, kuna jambo hapa na naliomba Jeshi la Polisi limchunguze huyu muhuni.

2. KUPIGWA RISASI AQULINA AKWILINI

Uhai ni delicate (wa thamani sana), na uhai ukiondoka hauwezi kurudi. Narudia kutoa pole kwa familia ya Aqulina Akwilini, na kwa Taifa kwa ujumla kwa kupoteza kijana na zaidi kwa kukatisha ndoto za huyo binti mdogo.

CHANZO CHA KUSABABISHA HAYO

Utaratibu wa maandamano unajulikana nchini, ili uandamane unahitaji kibali cha Polisi, pili Maandamano hayajawahi kufanyika baada ya saa 12 jioni, ndio maana hata mikutano ya vyama vya siasa mwisho wake ni saa 12 jioni. Kwa mujibu wa taarifa ni kuwa Freeman Mbowe aliwahamasisha wafuasi wa chadema waandamane kwenda kwenye ofisi ya Mkurugenzi, na ikumbuke kuwa nchi yetu ni ya utawala wa sheria na kuna vyombo vya ulinzi ambavyo vina jukumu la kulinda na kusimamia amani (to maintain peace and order). Baada ya Polisi kukutana na waandamanaji hao waliwaamuru watawanyike na wao wakagoma, ikabidi Polisi wafanye kazi yao kwa kutumia nguvu maana waandamanaji wakiongozwa na Mbowe walikataa kutii amri halali ya Jeshi la Polisi.

KUNA MATUKIO YALIYOPANGWA NA CHADEMA HAPO AWALI KWA AJILI YA UVUNJIFU WA AMANI

a. Walileta vijana sehemu mbalimbali za Tanzania kwa ajili ya kuwatumia kufanya vurugu na kuleta taharuki, vijana hao walitoka Tarime, Bunda, Serengeti, Kigoma, mbeya, Mwanza baadhi ya maeneo.

b. Kundi la mwisho la vijana toka Serengeti waliingia siku ya jumatano, 14 February na gari ya FALCON inayofanya safari zake kutoka Tarime hadi Dar, ambao ni wataalamu wa kupiga mishale.

c. Baadhi ya vijana walipewa bastola, zingine zikiwa za wabunge. Wengine wakapewa mapanga na wa Tarime na Serengeti wengi walikuwa kitengo cha Mishale.

d. Pia walikuwa na mafuta aina ya Petrol kwa kazi ambayo wangeelekezwa kuifanya.

e. Jana usiku ilikuwa wafanye uhalifu katika maeneo mbalimbali lakini baada ya kuona doria kali na baada ya maandamano yao kutawanywa na Polisi vijana wengi waliogopa kwenda kutekeleza uhalifu waliotumwa kuufanya, na huenda bado viongozi wa chadema hawajakata tama na leo bado vyombo vya ulinzi na usalama vinahitaji kuchukua tahadhari kubwa.

MAZINGIRA YA KUPIGWA RISASI AQULINA AKWILINI.

Taarifa zilitoka kuwa mwanafunzi huyo kapigwa risasi na Polisi, pamoja na taarifa hiyo bado kuna maswali ya kujiuliza, ambayo pia uchunguzi unahitajika kujua ukweli.

a. Kwanza chanzo cha taarifa hiyo ni kipi? Maana kwa mujibu wa sheria za nchi Jeshi la Polisi ndio lina dhamana ya kutoa taarifa, na inatoa baada ya kufanya uchunguzi na ku-establish fact kuhusu tukio husika.

b. Ni nani aliyethibitisha kujua risasi iliyompiga ni ya Polisi?, ni risasi ya silaha gani?

c. Hiyo daladala ilikuwa wapi wakati wa tukio? Ilikuwa na abiria wengine? Ilikwenda wapi baada ya risasi kuingia na kuuwa mmoja wa abiria? Hiyo daladala ina namba gani za usajiri na ni mali ya nani?

d. Ni watu gani wa awali waliohusika kutoa mwili wa Dada huyo ndani ya hiyo daladala?

JE KUNA UWEZEKANO WA CHADEMA KUMPIGA AQULINA RISASI ILI KULISINGIZIA JESHI LA POLISI?

Kwa tunaoijua CHADEMA kwa muda mrefu na tuliofanya kazi toka hakijawa Chama Kikuu Cha Upinzani tunajua viongozi wake, hasa Freeman Mbowe ni mtu wa aina gani, ndio maana kwangu mimi namuona kama muhuni Fulani aliyepata bahati ya kuongoza chama kwa hisani ya baba mkwe wake na mmoja wa wahalifu wakubwa nchini ambaye anavaa ngozi ya kondoo na ndani ni Mbwa Mwitu mkali, katili, asiye na huruma na ambaye yuko tayari kufanya chochote kwa ajili ya kupata pesa na madaraka.

Mbowe alijua kuwa lazima katika maandamano hayo yasiyo na kibali, na yanafanyika kuelekea usiku, na akayapitisha barabara zilipo ofisi za CCM-Kinondoni Mkwajuni, ambapo ndipo palitokea makabiliano ya jeshi la Polisi na waaandamanaji, na kuna taarifa kuwa wafuasi aho wa chadema baada ya kufika ofisi za CCM walianza kuwafanyia fujo wana CCM ambao pia walikuwa wametoka kwenye mkutano wao na kurejea ofisi zao.

Kuna mazingira haya yanaweza kuwa sahihi katika muktadha wa tukio la jana:-

a. Kwa Mbowe na genge lake kujua kuna uwezekano wa wao kukabiliana na jeshi la Polisi, wanaweza kuwa wamemuandaa mtu pindi itokee labsha hiyo basi apige mtu risasi na itakuwa rahisi kusema kapigwa na jeshi na Polisi.

b. Tunahitaji uchunguzi wa kina ili kujua muuaji haswa ni nani na achukuliwe hatua, kama ni wao wenyewe au kama ni jeshi la Polisi pia liwajibike.

c. Maandano yasiyo halali ni kinyume cha sheria, aliyehamasisha watu kufanya maandamano akamatwe na kuchukuliwa hatua kwa sababu bila yeye yaliyotokea yasingetokea.

HITIMISHO

Ni bahati mbaya kuwa na kiongozi wa upinzani tapeli, na muhuni kama Freeman Mbowe. Yeye anahamasiaha maandano na anakuwa wa kwanza kukimbia akiwaacha kwenye mataa watu aliowahamasisha nay eye kukimbia. Tumeona viongozi wa upinzani nchini, nakumbuka Profesa Haruna Lipumba alikuwa akifanya maandamano anakuwa mstari wa mbele, amewahi kukamatwa mara nyingi na amewahi pigwa hadi kuvunjwa mkono katika kukabiliana na Polisi, ila huyu muhuni anakuwa kama KIBWETELE, anahamaisha watu nay eye ni wa kwanza kukimbia, ni mtu muoga na asiye na uwezo wa kuongoza harakati za kudai haki, ni mjasiriamali wa kisiasa na zaidi ya hapo hana utu wala shauku ya kupigania maendeleo.

IKUMBUKWE MWAKA 2011 ALISEMA ana ushahidi Polisi walipiga bomu mkutano wao wa Arusha na kusababisha vifo, akasema ana ushahidi wa video, hadi leo miaka 7 hajawahi kuuonyesha mahali kokote. Hivyo matukio kama hili la 2011 ambapo Chadema walituhumiwa kupiga bomu raia waliohudhuria ili kutafuta huruma na kuungwa mkono kwa kuonyesha wao wanapigania haki sana hivyo wananyanyaswa.

WITO

Jeshi la Polisi mfanye kazi yenu kwa weledi, huyu muhuni anayegharimu maisha ya watu kila siku kwa kigezo cha demokrasia kwa nini mnashindwa kumuwajibisha? Je sisi raia tujue kuwa huenda kuna baadhi ya ninyi Polisi mnaolinda mambo ya hovyo yanayofanywa na huyu muhuni? Je wakitokea wahuni wengine na wakaendelea kulelewa kama huyu Mbowe hii nchi itatawalika na kuwa na amani?

MWISHO KABISA NIRUDIE KUTOA POLE ZA DHATI KWA FAMILIA ZILIZOPOTEZA WENZI WAO NA KUWASIHI WAFANYE MSIBA KATIKA FARAGHA KATIKA KUWASITIRI NDUGU ZAO NA WASIRUHUSU HAWA WAHUNI KUFANYA SIASA KATIKA MISIBA HIYO, WAULIZENI FAMILIA YA MWANGOSI, MKE WA MAWAZO NA WALE WA ARUSHA BAADA YA HAO WAHUNI KUFANYIA ILE MISIBA SIASA KAMA WALIWAHI TEKELEZA WALIYOJINASIBU KUZIFANYIA FAMILIA ZA MAREHEMU. MUNGU AWATIE NGUVU KATIKA KIPINDI KIGUMU MNACHOPITIA KAMA NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI.
Thank you dear VIRGO-mate.

I see that brilliant and articulate intelligence coming through and through. I could have written this article. KUDOS to you.
 
Back
Top Bottom