assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
Pakua mkataba wa Gesi Asilia wa Songosongo
Worst terms! Worstest dah
akizungumza kwenye mkutano wa hadhara mh MBOWE AMEPINGA UWEKEZAJI KWAMBA UNAONGEZA GHARAMA ZA MAISHA KWA WANANCHI.
MY TAKE
DUNIANI KOTE WANABINAFSHA VIWANDA MASHIRIKA NA SERIKALI KUJITOA KUENDESHA KILA KITU. MH MBOWE KUA MPINZANI HAIMAANISHI NI KUPINGA KILA KITU. binafsi naona si kupinga ubinafsishaji bali kuboresha sheria zetu za ubinafsishsji
chanzo: ITV
Tatizo la Mbowe ni ukosefu wa Elimu.

Assydria3,akizungumza kwenye mkutano wa hadhara mh MBOWE AMEPINGA UWEKEZAJI KWAMBA UNAONGEZA GHARAMA ZA MAISHA KWA WANANCHI.
MY TAKE
DUNIANI KOTE WANABINAFSHA VIWANDA MASHIRIKA NA SERIKALI KUJITOA KUENDESHA KILA KITU. MH MBOWE KUA MPINZANI HAIMAANISHI NI KUPINGA KILA KITU. binafsi naona si kupinga ubinafsishaji bali kuboresha sheria zetu za ubinafsishsji
chanzo: ITV
Kwani tangu lini mbowe amekuwa na hoja za maana make yeye mda wote anawaza mandamano tu.