Mboni Masimba ajifungua mtoto wa kiume

Jambazi

Wewe nawe ulipitaje na kichwa chako chote iko
 
Last edited by a moderator:

uislamu hausemi hvyo kwmba cku 40 ila c vzr tu kupost pcha kwan kuna watu wana husda na vjcho
 
Mie najua watoto wa kikristo hata akizaliwa leo unamtupia tu picha yake ila kwa waislam strictly siku hizo then ndio tunamtoa mtoto tena kwa sherehe kubwa kumbe ni watu tu ndo wamejiamulia
 
Uislam unaingiaje hapo sasa? Kama kweli angefuata dini huyo alitakiwa apigwe mawe mpaka afe? Why? Kazaa halafu hajaolewa!so? Mzinzi!!!...mnapowa discuss hawa wazinzi msiingize mambo ya dini wajadilini wenyewe tu na uzinzi wao
 
Unahukumu?
 
Mpen hongera pia Snura, hakutangaza ana mimba ili asikose show.wasanii wetu wana hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…