Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,074
- 34,844
Ameshakuwa sasa. At least that's a step forward one can bank on.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kivipi, kwani alikuwa janga?
Msamaha unaombwa Nyumbani, tena unawafuata wazazi unafunga safari kabisa, sio unawaita wazazi kwenye tukio lako na media ipo halafu unajifanya kuomba msahama huo ni utovu wa adabu, na kukosa maamaadili na mwongozo sahihi wa kufanya mambo
kwani kitendo cha kuwaomba msamaha wazazi wake unadhani ni jambo dogo amefanya?
I bet ananyatia ubunge huyu raia