Mbona yeye hajakingwa?

Kum-discourage asiwaze kupafanye France kijiwe cha kwenda kuzurura kila akichoka makelele yetu wananchi wake tunapodai kudorora kwa mambo kwenye utawala
 
Sio kwa marais tuu bali hiyo ni sheria ya uvaaji wa suti. wasiojua ndio hufunga vifungo vyote kama jacket la mvua.
Mkuu siku hizi fashion ni "Single Button", au hukuiona ile suti ya Messi alipokua anapokea tuzo ya Mwanasoka bora wa Dunia 2012/2013?
 
jua liko zaidi upande wa aliyekingwa wakati mkuu wetu anatumia kivuli cha mwanvuli ule.
 
Tangu lini umeona ombaomba anakaribishwa chumbani??
Siku zote ombaomba hutupiwa viporo hukohuko nje.
 
Huyo mlinzi kama anasema huyu nyani nae.............
 
Honestly anatia huruma! Hata mie nimejiuliza mbona hawajamfunika?
 

merci frère!!
 

Yani hapo jamaa anatamani amalize tu kuongea waondoke maana ni full theeeee....... theeee.... u know what....... i like to say....... !!!! full kujing'ata ng'ata.
Si unajua amezoea kuandikiwa na wakina Jan Makamba na yule Proffesa............

Salva Rweyemamu
 
Mmmmh..picha za Jk zimekuwa nyingi sana siku hizi bila shaka Mh Raisi ni modo.Na anapendezesha sana Jf jukwaa la picha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…