Mbona wanawake tunadhalilishwa hivi?

Mbona wanawake tunadhalilishwa hivi?

mambo haya hayajaanza Leo hata ghadaffi walinzi wake walikuwa ni bikira
 
Hutakiwi uelewe, hio siri ya jeshi haisemwi kwa raia loveleen. Dont mind knowing anyway!!

Kupigwa TOCHI ni kama hao mabinti wanavyofanyiwa ila kwa wanaume wanaangalia kama marinda yapo na kama jogoo anawika vizuri.
 
Last edited by a moderator:
Wanaume huwa wanavuliwa nguo na kubong'oa kuangalia kama marinda yapo,pia Dr anakuja kutest kama mpini unasimama dede.
 
Back
Top Bottom