Mkuki kwa ngurue?
This time Ngurue ndio ana mkuki....! :yield:
mkuki kwa ngurue?
This time ngurue ndio ana mkuki....! :yield:
Walifikiri mwaka huu mteremko kumbe wameingia choo wa kike
Walifikiri mwaka huu mteremko kumbe wameingia choo wa kike
aibu yaoooooooooooooooooooooo
Wao walikuwa wa kwanza kusema tukubali matokeo,sasa mbona wao wanakuwa wa kwanza kukataa kusaini.Je aibu yetu aibu yao?peoplesssssssssssssss!
Walifikiri mwaka huu mteremko kumbe wameingia choo cha kike