Kweli kabisa, wakishindwa kujenga shule wajenge magereza, wakishindwa na hilo...Tumekwishaaaa!Jengeni shule na sio mahakama.
angalia ulivyokuwa kilaza unadhani sheria zitakazotumika ni hizo zilizotungwa na walevi wenzako wamekaa baa kesho wanakutana bungeni wanapitisha sheria kinachotumika ni kitabu kitakatifu ambacho hakifanyiwi mabadiliko yale ni maneno ya dhahabu wacha ushabikiHiyo mahakama itaongozwa na nani wakati watu wenyewe hawaendi shule?kanuni na sheria watazijuaje wakati wote ni vilaza?waende igunga wakaanzishe hiyo mahakama.
angalia ulivyokuwa kilaza unadhani sheria zitakazotumika ni hizo zilizotungwa na walevi wenzako wamekaa baa kesho wanakutana bungeni wanapitisha sheria kinachotumika ni kitabu kitakatifu ambacho hakifanyiwi mabadiliko yale ni maneno ya dhahabu wacha ushabiki[/QUOTe
leteni hizo zenu mlizotunga kwa kulishwa chakula na wanaowadanganya!hovyo kweli
Wewe vipi!.Kwani ni lazima waislamu waende kama unavyopenda wewe?.Sisi tunakwenda kwa vipaumbele.Mahakama ya kadhi itakuja tu huko mbele usiwe na wasi wasi na wala usijidanganye kwamba hii kitu itakwisha.Suala la kuvuliwa mwislamu hijabu ni suala liko nje ya mahusiano yetu na CCM.Kama wangefanya wao CCM ndio kabisa wangekuwa wamejiharibia,lakini kwa ujanja wao wa kisiasa wakijiona vidume wa kudanganya hilo wanalikwepa tofauti na Chadema kinachoongozwa na hisia za kihuni wazi wazi.Inashangaza kuona chama cha magamba kilipodanganya juu ya uanzishwaji wa mahakama ya kadhi wakati wa ahadi zake za uchaguzi na mwezi uliopita serikali imesema kuwa mahakama ya kadhi haitaanzishwa na serikali,,hao wanaojiita viongozi wa dini na wanazuoni walikua wamekaa kimya..lwala hawakusema kua tusikipigie kura chama cha magamba..lakini lilipokuja suala la kuvuliwa hijabu ndo wameamka na kusema kuwa hawa CDM wametudhalilisha..mbona wakati wa kudanganywa juu ya mahakama ya kadhi mlikua kimyaa,,,inashangaza
hawa waislamu wanaota ndoto mchana huku wakiwa wanatembea, hizi mahakama zetu zipo taabani kimajengo hata kiundeshwaji na wao wamekaa wanangoja sanadakalawe ya kujengewa mahakama ya kadhi.........
Waendelee kusubiri
Samahani Sheikh Matata kesho utasalisha msikiti gani? napenda kusikiliza mawaidha yako.angalia ulivyokuwa kilaza unadhani sheria zitakazotumika ni hizo zilizotungwa na walevi wenzako wamekaa baa kesho wanakutana bungeni wanapitisha sheria kinachotumika ni kitabu kitakatifu ambacho hakifanyiwi mabadiliko yale ni maneno ya dhahabu wacha ushabiki
Juzi nilikuwa mahakama ya mwanzo Temeke kesi zilihairishwa kwa ukosefu wa karatasi.
Huko vijijini kuna mahakama zimefungwa miaka mingi iliyopita kwa uhaba wa mahakimu..
Majengo mengi ya mahakama yanatia aibu ukweli serikali imefilisika haina uwezo wala dhamira yakuongeza nakuboresha hata mahakama zake yenyewe hachilia mbali hiyo ya kadhi
Mkuu hakuna hakimu anayetaka kwenda kuhukumu kesi kijijini then kesho asubuhi anaamka akiwa na zinga la mshipa...
Hata wewe usingeenda.
Wa vijijini acha wahukumiane wenyewe kwa lamri.