Mbona walikuwa kimya kwenye suala la Mahakama ya Kadhi

darasa

Member
Sep 28, 2011
7
4
[h=2]Inashangaza kuona chama cha magamba kilipodanganya juu ya uanzishwaji wa mahakama ya kadhi wakati wa ahadi zake za uchaguzi na mwezi uliopita serikali imesema kuwa mahakama ya kadhi haitaanzishwa na serikali,,hao wanaojiita viongozi wa dini na wanazuoni walikua wamekaa kimya..lwala hawakusema kua tusikipigie kura chama cha magamba..lakini lilipokuja suala la kuvuliwa hijabu ndo wameamka na kusema kuwa hawa CDM wametudhalilisha..mbona wakati wa kudanganywa juu ya mahakama ya kadhi mlikua kimyaa,,,inashangaza[/h]

progress.gif
https://www.jamiiforums.com/editpost.php?p=2563155&do=editpost
 
achana nao hao, bado hawajui kama wanaitafuta pepo au wanaingangania dunia. shehe mkuu ndio mungu wao. ndiyo!!! kama sivyo wangeandamana kumpinga.
 
Hatuna viongozi tuna ma-puppet ya CCM yanayofikiri kwa kutumia matumbo yao tu. Si mahakama ya Kadhi pekee, hata Manji amewahi kudhurumu viwanja vyenye Wakfu, Waislam tukaja juu na tulipowabaini waliousika tukataka tuwawajibishe, haikupita muda wakajitokeza viongozi tunaowaheshimu kama akina Sheikh Kundecha wa Shura ya Maimam na wenzake akina Sheikh Issa Ponda wa Al-malid Islamya baada nao kuonjeshwa kitu kidogo wakadai eti yale mambo wameyamaliza "Kiislam"! Mpaka leo bado nimepigwa butwaa kuhusu huu msamiati wa Watu kuyamaliza mambo ya wizi "Kiislam"! Maana ninavyojua mimi kumalizana na Mwizi Kiislam ni kumkata mkono na hayo ndio tunategemea kuyaona kwenye mahakama ya Kadhi yakifanyika na si kugawana walichoiba. Mpaka leo viwanja havijarudi na watu wamemalizana "Kiislam".
 
Hiyo mahakama itaongozwa na nani wakati watu wenyewe hawaendi shule?kanuni na sheria watazijuaje wakati wote ni vilaza?waende igunga wakaanzishe hiyo mahakama.
 
Hiyo mahakama itaongozwa na nani wakati watu wenyewe hawaendi shule?kanuni na sheria watazijuaje wakati wote ni vilaza?waende igunga wakaanzishe hiyo mahakama.
angalia ulivyokuwa kilaza unadhani sheria zitakazotumika ni hizo zilizotungwa na walevi wenzako wamekaa baa kesho wanakutana bungeni wanapitisha sheria kinachotumika ni kitabu kitakatifu ambacho hakifanyiwi mabadiliko yale ni maneno ya dhahabu wacha ushabiki
 
angalia ulivyokuwa kilaza unadhani sheria zitakazotumika ni hizo zilizotungwa na walevi wenzako wamekaa baa kesho wanakutana bungeni wanapitisha sheria kinachotumika ni kitabu kitakatifu ambacho hakifanyiwi mabadiliko yale ni maneno ya dhahabu wacha ushabiki[/QUOTe
leteni hizo zenu mlizotunga kwa kulishwa chakula na wanaowadanganya!hovyo kweli
 
Kweli ccm wameharibu nchi! Michango ninayoiona hapa inadhihirisha kuwa udini umeingia hadi hapa jamvini!
Poor tz! Nani atawakomboa kama hata wasomi na tunaowaita GT nao wameathiriwa na siasa mbovu na potofu za ccm.
Maskini nchi yangu. Naogopa hata kusema Mungu ibariki maana tumewalaumu sana watu wa vijijini kumbe mjini ndio msiba ulipo! Angalia mawazo ya wachangiaji hapa! Angalia Dar, kati ya wabunge 8, waupinzani ni wa2 tu na tunawalaumu wana Igunga! Eti sisi ndio wa mjini. Eti sisi ndio wasomi, eti sisi ndio vjana, eti sisi ndio tutaleta mabadiliko.
Imeletwa thread, badala ya kuijadili kama GT, ni kejeli na kashfa kwa dini! Upuuzi mtupu!?
 
Let us be objective please! and stop this it wont lead us anywhere! We all want to have better Tanzania so let us stick to issue please.
 
hawa waislamu wanaota ndoto mchana huku wakiwa wanatembea, hizi mahakama zetu zipo taabani kimajengo hata kiundeshwaji na wao wamekaa wanangoja sanadakalawe ya kujengewa mahakama ya kadhi.........
Waendelee kusubiri
 
Juzi nilikuwa mahakama ya mwanzo Temeke kesi zilihairishwa kwa ukosefu wa karatasi.
Huko vijijini kuna mahakama zimefungwa miaka mingi iliyopita kwa uhaba wa mahakimu..
Majengo mengi ya mahakama yanatia aibu ukweli serikali imefilisika haina uwezo wala dhamira yakuongeza nakuboresha hata mahakama zake yenyewe hachilia mbali hiyo ya kadhi
 
Inashangaza kuona chama cha magamba kilipodanganya juu ya uanzishwaji wa mahakama ya kadhi wakati wa ahadi zake za uchaguzi na mwezi uliopita serikali imesema kuwa mahakama ya kadhi haitaanzishwa na serikali,,hao wanaojiita viongozi wa dini na wanazuoni walikua wamekaa kimya..lwala hawakusema kua tusikipigie kura chama cha magamba..lakini lilipokuja suala la kuvuliwa hijabu ndo wameamka na kusema kuwa hawa CDM wametudhalilisha..mbona wakati wa kudanganywa juu ya mahakama ya kadhi mlikua kimyaa,,,inashangaza

progress.gif
Wewe vipi!.Kwani ni lazima waislamu waende kama unavyopenda wewe?.Sisi tunakwenda kwa vipaumbele.Mahakama ya kadhi itakuja tu huko mbele usiwe na wasi wasi na wala usijidanganye kwamba hii kitu itakwisha.Suala la kuvuliwa mwislamu hijabu ni suala liko nje ya mahusiano yetu na CCM.Kama wangefanya wao CCM ndio kabisa wangekuwa wamejiharibia,lakini kwa ujanja wao wa kisiasa wakijiona vidume wa kudanganya hilo wanalikwepa tofauti na Chadema kinachoongozwa na hisia za kihuni wazi wazi.
 
hawa waislamu wanaota ndoto mchana huku wakiwa wanatembea, hizi mahakama zetu zipo taabani kimajengo hata kiundeshwaji na wao wamekaa wanangoja sanadakalawe ya kujengewa mahakama ya kadhi.........
Waendelee kusubiri

Mkuu umepiga hadi IKulu mie sina la kuongeza maneno mazito nikisema kutawaka moto .Nakukubali .
 
angalia ulivyokuwa kilaza unadhani sheria zitakazotumika ni hizo zilizotungwa na walevi wenzako wamekaa baa kesho wanakutana bungeni wanapitisha sheria kinachotumika ni kitabu kitakatifu ambacho hakifanyiwi mabadiliko yale ni maneno ya dhahabu wacha ushabiki
Samahani Sheikh Matata kesho utasalisha msikiti gani? napenda kusikiliza mawaidha yako.
 
Juzi nilikuwa mahakama ya mwanzo Temeke kesi zilihairishwa kwa ukosefu wa karatasi.
Huko vijijini kuna mahakama zimefungwa miaka mingi iliyopita kwa uhaba wa mahakimu..
Majengo mengi ya mahakama yanatia aibu ukweli serikali imefilisika haina uwezo wala dhamira yakuongeza nakuboresha hata mahakama zake yenyewe hachilia mbali hiyo ya kadhi

Mkuu hakuna hakimu anayetaka kwenda kuhukumu kesi kijijini then kesho asubuhi anaamka akiwa na zinga la mshipa...
Hata wewe usingeenda.
Wa vijijini acha wahukumiane wenyewe kwa lamri.
 
Mkuu hakuna hakimu anayetaka kwenda kuhukumu kesi kijijini then kesho asubuhi anaamka akiwa na zinga la mshipa...
Hata wewe usingeenda.
Wa vijijini acha wahukumiane wenyewe kwa lamri.

LOL.... kweli JF kiboko, umenikumbusha ufipa jamaa kaamka kajikuta amekumbatiwa na fisi.... kweli bongo balaa
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom