[h=2]Inashangaza kuona chama cha magamba kilipodanganya juu ya uanzishwaji wa mahakama ya kadhi wakati wa ahadi zake za uchaguzi na mwezi uliopita serikali imesema kuwa mahakama ya kadhi haitaanzishwa na serikali,,hao wanaojiita viongozi wa dini na wanazuoni walikua wamekaa kimya..lwala hawakusema kua tusikipigie kura chama cha magamba..lakini lilipokuja suala la kuvuliwa hijabu ndo wameamka na kusema kuwa hawa CDM wametudhalilisha..mbona wakati wa kudanganywa juu ya mahakama ya kadhi mlikua kimyaa,,,inashangaza[/h]
https://www.jamiiforums.com/editpost.php?p=2563155&do=editpost