lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
kwa wale wapenzi wa mieleka kama WWC,WWA.ambapo kuna wapiganaji kama john seaner,halkhogan,TRIPLE H.na wengineo. swali hivi kwa nini hawa jamaa licha ya kupeana vipigo vya mbwa mwizi lakini hawatokagi damu? jamani wataalam wa mieleka watujuze hapa

nawewe lini utatoa majibu? kilasiku maswali tu. Vp nilisikia umeolewa na Alikiba, ndoa yenu inaendeleaje dada?
JOHN SEANER==> JOHN CENA
HALKHOGAN==> HULK HOGAN
Hivi we wa wapi?
toa point acha kutapika ushuzi
Dada unajidai kweli toka umeolewa na Ally K
team chibu mnatia huruma sana
prove it!mkuu hii photoshop
mkuu hii photoshop