Mbona Waafrika hatupo kwenye top programmers

Ahsanye kwa thread nzuri. Japo mimi sio mtaalam wa haya mambo lakini naomba nichangie. Ukituangalia waafrica wengi tuna elements za kujiona wajuaji sana/dharau. Hii hupelekea kuwafanya wengi wetu kuona jambo furani yeye ndio anaweza na anakuwa mgumu kushiriksha wengine. Pia leo hii ukiwa na idea furan ukataka kuomba ushauri kwa mtu aliyefanikiwa basi utapata vikwazo kibao. Hii ndio inapelekea madevelopers wengi africa kufail. Nawasilisha
 


umeongea fact mkuu,tena ukute programmer wote ni men ma demu wengi hii career wako slow sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…