Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,261
- Thread starter

- #21
sasa how do u go about disabling those updates, mkuuKwa maoni yangu, tatizo siyo MODEM wala VODA. Nakushauri u-disable automatic update zote ambazo huwa zinaji update kwenye background bila mtumiaji kujuwa na kumbuka file zake ni kubwa. Hivyo nakushauri u-disable updates kuanzia operating system ya PC yako na application programmes zote ulizowahi ku-down load ljj

Kipipili, haipendezi kuanza kubeza beza watu wanapotoa maoni yao technical kuhusu matatizo wanayokumbana nayo kwenye mambo haya ya IT; labda nikukumbushe kwamba kuna wa Tanzania wengi ambao wamebobea katika nyanja hizi za IT lakini wanakaa kimya na inapo bidi wanatoa ushauri kwa nia nzuri tu kuwaelimisha wenzao - kwa hiyo mtu anapotoa ushauri msikilize, jaribu ushauri wake ukifanikiwa wajulishe members hili wajifunze kitu fulani. Hivi unaposema "but remember this is unlimited service for the whole week, so it doesnt matter if there is automatic update or downdate" una maana gani! nani kakwambia kuna Internet Service Provider yoyote duniani anaweza kudish out Giga au Tera Byets za bure ka wiki moja kwa malipo kiduchu ya shilling elfu kumi - akupe a blank cheque ya kudownload Picha,graphics, movies, miziki ambavyo vinakula Bytes kama mchwa wakati na yeye anilipaia hizo uduma kwa Backbone providers. Nenda kawaone hao ISP wakeuleze vizuri wanaposema unlimited wana maana gani - utashangaa watakayo kueleza, unapangiwa Bytes za kutumia kutegemea malipo yako kwa muda fulani, hukikosea na kudownload programs ambazo zina mafile makubwa hela zako zitaisha haraka sana.

Mimi nilitoa ushauri kwamba hazime automatic update zote for a reason, kwanza alipo sema kwamba hela inakwisha haraka sana nilijuwa kuna programs zinaji-update bila ya yeye kujuwa na infact ukisha funga internet kwenye PC yako basi kitu cha kwanza PC inakimbilia kuangalia kama kuna update zozote za kudownload na kibaya zaidi program zaidi ya nne au tano zinaweza kuwa zinaji-update concurrently bila ya mtumiaji kujuwa na kumbuka hizo zinakula kwako, kwa hiyo mtu unajikuta unatumia hela nyingi na kuanza kutafuta mchawi - take heed.

Mwisho kipipili umetumia neno DOWNDATE mimi ndilo nalisikia kwa mara ya kwanza katika maisha yangu, alafu ulijaribu kuponda Vyuo Vikuu vyetu eti kwa nini wanafundisha Computer Basic, nadhani wenzangu wamekujibu kiundani zaidi, vuo vikuu vyote duniani vinatoa vyeti vya kila aina na siyo degree tu.
akuna unlimited hapo wizi mtupu unauziwa mb or gb kadhaa ila tgo nawakubali wanayo unlimited yaukweli 45000 kwa mwezi na ipofasta
sasa kuna wazimu mmoja huko customer care aliniambia nitune BOMBA7 kwenda 1530. kumbe ni 123? nashukuru ndugu hapo juu

maelezo mengi ila mengine hayana ukweli". Nakuomba usome vizuri maelezo yangu nisesema hakuna ISP anaweza kuruhusu client kutumia Bytes nyingi ndani ya wiki moja kwa malipo ya elfukumi. Ukilipa elfu hamsini kwa mwezi utaruhisa kufanya utakalo.

maelezo mengi ila mengine hayana ukweli". Nakuomba usome vizuri maelezo yangu nisesema hakuna ISP anaweza kuruhusu client kutumia Bytes nyingi ndani ya wiki moja kwa malipo ya elfukumi. Ukilipa elfu hamsini kwa mwezi utaruhisa kufanya utakalo.
Kipipili, haipendezi kuanza kubeza beza watu wanapotoa maoni yao technical kuhusu matatizo wanayokumbana nayo kwenye mambo haya ya IT; labda nikukumbushe kwamba kuna wa Tanzania wengi ambao wamebobea katika nyanja hizi za IT lakini wanakaa kimya na inapo bidi wanatoa ushauri kwa nia nzuri tu kuwaelimisha wenzao - kwa hiyo mtu anapotoa ushauri msikilize, jaribu ushauri wake ukifanikiwa wajulishe members hili wajifunze kitu fulani. Hivi unaposema "but remember this is unlimited service for the whole week, so it doesnt matter if there is automatic update or downdate" una maana gani! nani kakwambia kuna Internet Service Provider yoyote duniani anaweza kudish out Giga au Tera Byets za bure ka wiki moja kwa malipo kiduchu ya shilling elfu kumi - akupe a blank cheque ya kudownload Picha,graphics, movies, miziki ambavyo vinakula Bytes kama mchwa wakati na yeye anilipaia hizo uduma kwa Backbone providers. Nenda kawaone hao ISP wakeuleze vizuri wanaposema unlimited wana maana gani - utashangaa watakayo kueleza, unapangiwa Bytes za kutumia kutegemea malipo yako kwa muda fulani, hukikosea na kudownload programs ambazo zina mafile makubwa hela zako zitaisha haraka sana.
Mimi nilitoa ushauri kwamba hazime automatic update zote for a reason, kwanza alipo sema kwamba hela inakwisha haraka sana nilijuwa kuna programs zinaji-update bila ya yeye kujuwa na infact ukisha funga internet kwenye PC yako basi kitu cha kwanza PC inakimbilia kuangalia kama kuna update zozote za kudownload na kibaya zaidi program zaidi ya nne au tano zinaweza kuwa zinaji-update concurrently bila ya mtumiaji kujuwa na kumbuka hizo zinakula kwako, kwa hiyo mtu unajikuta unatumia hela nyingi na kuanza kutafuta mchawi - take heed.
Mwisho kipipili umetumia neno DOWNDATE mimi ndilo nalisikia kwa mara ya kwanza katika maisha yangu, alafu ulijaribu kuponda Vyuo Vikuu vyetu eti kwa nini wanafundisha Computer Basic, nadhani wenzangu wamekujibu kiundani zaidi, vuo vikuu vyote duniani vinatoa vyeti vya kila aina na siyo degree tu.
Nimenunua modem ya voda juzi tu. Tatizo inakula sana. Nimeongea na customer care usiku sana maana muda wa mchana hawapatikani. Jamaa akaniambia kununua bundle niweke elf 10 kisha nitume neno bomba7 kwenda 15300 nitapata net ya wiki nzima regardldess unatumiaje. Nimeweka asubuhi elf 10 ajabu nimetumia kwa saa moja tu! Huu si wizi? Au sikupewa maelezo ya kutosha?