Mbona vifo vimeongezeka

Mbona vifo vimeongezeka

relis

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2015
Posts
3,429
Reaction score
5,468
Habari? Katika harakàti zangu za kufuatilia habari mitandaoni Huwa napitia pitia mtandao wa Facebook nilichogundua vifo vingi vinatokea vya watoto wa 2000 RIP zimekuwa nyingi mno mpaka najiuliza ndio tumeingia zama mpya za kizazi Cha 2000 kupukutika au sie wa 80's tunajionea sio changamoto kwetu,au ni laana ya kizazi.
 
Sisi wa 80's kifo kimetuogopa.

No reform no election
 
Back
Top Bottom