The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,911
- 2,891
elimu ndio kiwanada cha kukarabati akili za watu kwa bahati mbaya serikali yetu inatenga asilimia 1 tu kugharamia elimu wakati wenzetu south africa wanatumia 30 ya pato lao kugharamia elimu naona kama tunaangamiza nguvukazi twaiacha iishie mitaani