Ha ha haa,funMbona 37 mbali sana huko....hapa nimekalia ofa mbili za warembo wa miaka 28 and 31 wanaomba niwape mbegu watalea wenyewe hao watoto. Ni vile tuu mie sitaki kukabana mashati baadae. Kwa kweli hali ni mbaya sana kwa warembo
Sawa ila mi nataka jumla jumla kabisaLabda barua ya kuruhusiwa kunitafuna bila bughza...ila siyo kuolewa mkuu
I kid u not my dear.....ofa zipo tena jana tuu nachakata mbususu mrembo anasema mwaka huu nataka nizae, sasa unadhani hapo anamaanisha nini?Ha ha haa,fun
Hamna haja ya kusubiri kupewa pasi nipo muoaji ila ukubali ukewenza.Please ukipata wengi nipasie pia mkuu kuku[emoji12]
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Miss you
Nipo kwenye penalty box waiting for your assist mkuu[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Bila shaka jina umebadili nashindwa hata kukujua jmn[emoji1787][emoji1787]
OkayNipo kwenye penalty box waiting for your assist mkuu
Wapo humu wengi sana mkuuSawa ila mi nataka jumla jumla kabisa
Umechaguliwa wewe wa karibuWapo humu wengi sana mkuu
Mie Alhamdulillah naendelea vyema Kaka yangu. 🙏🙏 Nawe natumai uko vizuri pia.Dada nakusalimiaaanakusalimiaaa
Haya ndo matunda sasa ndugu yangu sio kupita tu. 🤣🤣Sawa ila mi nataka jumla jumla kabisa
Leo nimekutana na bahati kabisa maana amesema yuko Jiran na mkoani kwetuHaya ndo matunda sasa ndugu yangu sio kupita tu. [emoji1787][emoji1787]
tuma picha tukuone waoajiMmejificha waaaaapiiii wajameni,mbona mnataka tuzeekeee tuuu bila huruma
Hebu mtuoe basi tumechoka mikelele ya wazazi
Hakuna kigezo wala masharti hapa,sibagui sichagui [emoji1]
Ila ukija na usiponioa oohoooo utakijua cha mtema kuni[emoji41]
Ashindwe mwenyewe tu sasa sababu nyie ndo waoaji wenyewe.Leo nimekutana na bahati kabisa maana amesema yuko Jiran na mkoani kwetu
Kweli kabisa na hapa Nina mahali nimepewa juzi na babu akichelewa nitahamia mikoa ya pwaniAshindwe mwenyewe tu sasa sababu nyie ndo waoaji wenyewe.
Ewaaaa. 😅Kweli kabisa na hapa Nina mahali nimepewa juzi na babu akichelewa nitahamia mikoa ya pwani
Hapa atume namba ili nimtumia ya matumizi kabisa
Hapa wewe unatakiwa uwepo siku ya kupeleka mahali iwe huku au pwaniEwaaaa. [emoji28]
Ikiwadia utanambia ndugu yangu sina kipingamizi.Hapa wewe unatakiwa uwepo siku ya kupeleka mahali iwe huku au pwani
Ni ombi tu