Mbona siwaoni waoaji mwe!

Mbona siwaoni waoaji mwe!

Mmejificha waaaaapiiii wajameni,mbona mnataka tuzeekeee tuuu bila huruma

Hebu mtuoe basi tumechoka mikelele ya wazazi
Hakuna kigezo wala masharti hapa,sibagui sichagui
Ila ukija na usiponioa oohoooo utakijua cha mtema kuni
Nenda Kashitaki kwa Rais kwamba wanaume hawataki kuwaoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmejificha waaaaapiiii wajameni,mbona mnataka tuzeekeee tuuu bila huruma

Hebu mtuoe basi tumechoka mikelele ya wazazi
Hakuna kigezo wala masharti hapa,sibagui sichagui
Ila ukija na usiponioa oohoooo utakijua cha mtema kuni
Dah thread Tayari 😂😂😂😂
Joined Yesterday Mnasumbua sana... Duuh nani akuoe Kati username ya Mapimpili na watengwa...
 
Mmejificha waaaaapiiii wajameni,mbona mnataka tuzeekeee tuuu bila huruma

Hebu mtuoe basi tumechoka mikelele ya wazazi
Hakuna kigezo wala masharti hapa,sibagui sichagui
Ila ukija na usiponioa oohoooo utakijua cha mtema kuni
Mbona hujaweka sifa zako kama umri, dini, mahali ulipo, nk?
 
Back
Top Bottom