Toa sifa zako waz watu watume cv full stopunataka sifa zangu nizitoe hapa?
Mazingira gan umeyatumia kutafuta mkeanatafutwaje mkuu...nisaidie labda kuna steps nazikosea..
Angalia avatar yake [emoji4] [emoji4] [emoji4]Ebu weka picha yako wakuone kwanza kama kweli wewe ni gentleman
usijali utapata mkuu vuta subila kwan bado kijana