Mbona sipati mke wa kuoa jamani?

Mbona sipati mke wa kuoa jamani?

Habari JF,

Kama kichwa tajwa kinavyosema,

Nimeshaandika threads za kutosha kutafuta mke wa kuoa lakini sipati jamani. Hivi ni kwanini? Au madada hamuamini mtu anaposema anataka mtu wa kuoa? Mimi nataka wa kuoa niko serious jamani niko gentleman nimetulia kuhusu vigezo vinapatikana PM ukinifollow huko.
Avatar yako inatutisha
 
Mkuu, usikate tamaa utapata tu siku moja.
Mke anapatikana hata mitandaoni, tena aweza kuwa mkarimu na mkweli kuliko hata wa kitaani kwenu au kuliko hata hao mnaosali nao.
Sema tu mnapishana tu kimawazo, wakati uko seriously, Wao huchukulia jokes. Wakati wao wakiwa seriously wewe tayari utakuwa ushapata.
Never give up
 
ni kweli mkuu...
 
Aiseee usikate tamaa...ila kuoa sio mchezo ndugu, nadhani umejipanga vilivyo
 
Mwanaume unaeweka bandiko hapa hauko serious...

Kwanini usiwafuate PM...!!
 
Kwani wewe upo sayari gani hiyo mpaka unakosa mke? Kama ni dunia hii hii basi siyo bure, ama unachangamsha kijiwe au unahitaji mke mwenye vigezo visivyopatikana katika sayari dunia, au wewe mwenyewe hujajianda kuishi na mke.
 
niko sayari ya tatu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom