Mala mbili tena sehemu muhimu sana
Sehemu muhimu ndo ipo vp???......ok back to topic ni hivi,kama ni mti basi hiki ni kipind ambacho unatoa maua (according to yo age)..kila mtu anataka kuchuma maua na hata vipepeo,nyuki nao wanazengea hapo.
Muda utafika hutawaona hao wawili wawili.....kama ulivyosema hapo juu kuhusu uumini wako basi mshirikishe Mungu akusaidie kukupa wa ubavu wako.Kila la heri
Ukishafikia 30 utakuwa serious, kwa sasa hata huhitaji maombi maana wewe ni mzima wa afya.Kinachokusumbua ni kiburi cha uzima plus ujanaWadau naomba ushauri wenu. Mimi ni binti wa miaka 24, kila nikipendwa napendeka haswaaa lakini inafika kipindi namchoka kupita kiasi huyo anipendae.
Inafikiaga hadi hatua ya kutaka kuletewa barua lakini huwa mimi mwenyewe na kataa. Naikifika kipindi huyo mchumba ninae mkataza kuleta barua akighaili mimi ndio nakuwa tayari.
Sasa naomba mnisaidie jamani, hili ni pepo au nini?
Na kama nipepo mbona mimi ni muumini mzuri sana wa dini yangu?
Mala mbili tena sehemu muhimu sana
Wadau naomba ushauri wenu. Mimi ni binti wa miaka 24, kila nikipendwa napendeka haswaaa lakini inafika kipindi namchoka kupita kiasi huyo anipendae.

Basi una pepo linalotaka uwe mchepuko tu.! Jitahidi kua mchepuko kwa wanaume wengi ili ufaidi zaidi.