Mbona Rais Magufuli amejikausha kama siyo yeye aliyeanzisha hili timbwili

Mimi kinachoniumiza Ni kauli za viongozi wetu kuwa korosho zetu hazina viwango
Wakapunguza Bei na zengine zinarudishwa.
Hapo kwa ujumla tumeshaliua soko la korosho maana duniani korosho yetu haitakua na thamani na itanunuliwa kwa Bei ya chini.

Viongozi acheni kauli za kisiasa kwenye Mambo ya msingi kwa kauli zenu zinaacha madhara makubwa
Kwasababu zinabanguliwa kienyeji hakuna resources.
 
Z
Chanzo cha haya yote ni nani???????
-Nani aliyekwapua mabilioni ya export levy ambazo ni fedha za wakulima na kuingiza fuko kuu?
-Nani aliyezuia wafanyabiashara kulangua korosho kutoka kwa wakulima?

The crisis didnt just happen,it was triggered by the chain of wrong actions specifically done by the President!

Awali wafanyabiashara waligharamia kila kitu kuanzia kuhudumia shamba kuvuna kubanjua korosho na wakienda kuuza wanatoa gharama zao kisha wanagawana faida na wakulima, lakini sasa wakulima wanajigharamia kila kitu na wengi ni masikini ndiyo maana Askari wa jwtz wanachukua wake zao kuwatia mimba pamoja na wake zao kuna vilio kibao, wanalia njaa pia wanalia wivu kwa wake zao na watoto zao hawataki kuwaona JWTZ huko maana wamevuruga ndoa nyingi sasa, badala ya Serikali kuwasaidia wakulima wa korosho imewapelekea kero na Taabu sana
 
Hahahahaaa,kisa mambo yamebuma ndio amawaachia watendaji?Mbona hakumuachia waziri mkuu kipindi kile kwenye uamuzi wa serikali kununua?Kiki tu za kijinga kwa gharama ya maisha ya watu!

Fatilia kinachojiri kwanza.. unachotaka kusikia wewe.. jua hamtapata huo mwanya tena wa kuwagandamiza watanzania wenzenu.

Ulichoandika hapo ni kuonyesha ualosto umekujaa.. jifunze uongozi na umuhimu uliompelekesha yeye kuyaongea kwanza na aliowateua kutekeleza. Tena inabidi watekeleze kwa kutumia akili zao na sio kumsumbua yeye awasaidie maamuzi.
 
Hakuna aliyewahi gusa kagomba akabaki Salama, tukose wote.Episode ya SAA hizi ni kuandaa maandamano ya kupongeza kurudishiwa korosho,heri wangezikabidhi jeshini kama kivuko cha MV DSM ili wakulima wasihoji.
 
yuko chimbo anawaza nitoke vp? anakuja kujifanya ana huruma kwa wakulima atakuja kupinga pesa kurudishwa toka kwa wakulima ili kujifanya ana wajali sana subiri.
 
Fatilia kinachojiri kwanza.. unachotaka kusikia wewe.. jua hamtapata huo mwanya tena wa kuwagandamiza watanzania wenzenu.

Ulichoandika hapo ni kuonyesha ualosto umekujaa.. jifunze uongozi na umuhimu uliompelekesha yeye kuyaongea kwanza na aliowateua kutekeleza. Tena inabidi watekeleze kwa kutumia akili zao na sio kumsumbua yeye awasaidie maamuzi.
Wewe huna tofauti na vuvuzela hujawahi kuwa na hoja za maana humu, wewe kila ujinga na upumbavu wa serikali lazima uunge mkono juhudi za kukandamizwa wananchi
 
Ukichukua Fundi Bati ajifunzie kupiga Bati nyumba yako ataiharibu,zama hizi sio sahihi kuwa na viongozi wa majaribio,mda ni maisha ya MTU.
amewaharibia maisha watu wengi sana. Lakini mitanzania tulivyo mbuzi mbuzi, tunamshangilia!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom