Mbona Rais Magufuli amejikausha kama siyo yeye aliyeanzisha hili timbwili

Magufuri tayari keshaferi yupo yupo tu hana analolijua busara ajitambue anakotupeleka na heshima atapata pale tu atakapotamka 2020 Nchi apewe mtu mwingine
 
Mkuu sio korosho tu itayomwaibisha,rejea ktk ununuzi wa ndege mabilioni ya pesa unaenda kuekeza sehem isiokuwa hata na msingi wowote,waliwafkuza hadi Fast Jet(private sector) wakijua watshika masoko,vyuma vikazid kutait leo ndege inasafiri na abiria hawafiki 10
Tupia jicho la vitambulisho
Walengwa ni wamachinga leo wanalazimidhwa hadi mama lishe walipie vitambulisho kwa elf20
Hakuna mwekezaji mwenye imani na nchi hii kwasasa kuanzia kiusalama wake,TRA.
Papo hapo wafanyakazi(Exparts)asilimia 80 wametimuliwa nchini
Inshort uongozi wa miaka mi3 tu,imeturudisha miaka 20 nyuma
Stick, kuna watu hawayaoni kabisa haya tunayoyaona wengine, tafsiri yake ni kwamba wamejitia upofu.
 
Stick, kuna watu hawayaoni kabisa haya tunayoyaona wengine, tafsiri yake ni kwamba wamejitia upofu.

Mkuu safari ikifika inafika tu,hakuna kwepinghata wakijifanya vipofu watayaona tu.
Siku usd$100 ikifika 2600Tshs,hapo ndio watashtuka sasakwamaana serikali huwa hawalishtukii jambo mapema hadi lile jambo lilete madhara ndio wanaamka sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom