Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,560
Zao la kibiashara linaloongoza kutuingizia fedha za kigeni ameharibu,halafu tunatafuta mchawi kwanini dola inapaa!!!Aibu!Tena aliahidi soko la kwanza Air Tanzania watazigawa kwenye ndege zetu. Inamaana hao wafanya biashara
Mambo yakiharibika ndio anapona?Ajitokeze hadharani kuwaomba radhi wakulima!Inawezekana ameanza kupona kiasi kwamba mishipa ya akili imeanza kufanya kazi
Zidumu fikra za mwenyekiti wa chama.Sio hivyo tu " Na wale wote ambao korosho zao zilibainika kuwa hazina kiwango warudishe fedha walizolipwa hapo mwanzo"....
Hakika huu ni ujambazi na uonevu wa hali ya juu kutoka kwa serikali ya JPM...
Leo ukiwauliza hao wakulima kwanini waliandamana,watalia kwa uchungu!Sio hivyo tu " Na wale wote ambao korosho zao zilibainika kuwa hazina kiwango warudishe fedha walizolipwa hapo mwanzo"....
Hakika huu ni ujambazi na uonevu wa hali ya juu kutoka kwa serikali ya JPM...
Hahahahahaaaaa,hizo ni "classified"!Hivi zile korosho zilizotaifishwa hakuna zizokuwa na ubora zilizorudishwa?
Mkuu ninachomaanisha ni kuwa kwa sasa anaona aibu so siku aibu ikiisha atatoka nje na kusema neno ila si kuomba msamaha.Mambo yakiharibika ndio anapona?Ajitokeze hadharani kuwaomba radhi wakulima!
Failed president!Tena aliahidi soko la kwanza Air Tanzania watazigawa kwenye ndege zetu. Inamaana hao wafanya biashara wa nje wasitubabaishe. Pasi kujali matokeo ya taifa kukosa pesa za kigeni. Sasa ndege zinasukumwa kabla hazijatoa korosho kama kitafunwa
Zidumu fikra za mwenyekiti wa chama.
Wewe unachokijua ni Sinema propaganda za kijinga jinga za cyprian Musiba?
Hahaaha umepaniki mze baba
Au anasubiri tension ipungue,hahahaaa!Mkuu ninachomaanisha ni kuwa kwa sasa anaona aibu so siku aibu ikiisha atatoka nje na kusema neno ila si kuomba msamaha.
Inawezekana ameanza kupona kiasi kwamba mishipa ya aibu imeanza kufanya kazi