Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,560
Mzee anaanzisha vitu kwa kiki,mambo yakibuma anajikausha kama vile yeye hayumo na hahusiki!Tunataka kusikia neno mzee baba,korosho imekuwa zigo la misumari kwa wakulima!
-Uhakiki(wasio na mashamba wakaporwa korosho yao),lakini hata wenye mashamba danadana kuwalipa!
-Sasa tunaambiwa kuwa baadhi ya wakulima wanarejeshewa korosho yao maana hazina ubora!!!!
Kwanini hukumsikiliza PM Kassim Majaliwa na ukaishia kumdhalilisha?
Kitendo alichofanyiwa Waziri Mkuu Majaliwa si cha kiungwana! - JamiiForums