Mbona Rais Magufuli amejikausha kama siyo yeye aliyeanzisha hili timbwili

Tigershark

JF-Expert Member
Oct 9, 2018
7,051
12,560
Mzee anaanzisha vitu kwa kiki,mambo yakibuma anajikausha kama vile yeye hayumo na hahusiki!Tunataka kusikia neno mzee baba,korosho imekuwa zigo la misumari kwa wakulima!

-Uhakiki(wasio na mashamba wakaporwa korosho yao),lakini hata wenye mashamba danadana kuwalipa!

-Sasa tunaambiwa kuwa baadhi ya wakulima wanarejeshewa korosho yao maana hazina ubora!!!!

Kwanini hukumsikiliza PM Kassim Majaliwa na ukaishia kumdhalilisha?

Kitendo alichofanyiwa Waziri Mkuu Majaliwa si cha kiungwana! - JamiiForums
 
Tena aliahidi soko la kwanza Air Tanzania watazigawa kwenye ndege zetu. Inamaana hao wafanya biashara wa nje wasitubabaishe. Pasi kujali matokeo ya taifa kukosa pesa za kigeni. Sasa ndege zinasukumwa kabla hazijatoa korosho kama kitafunwa

Zidumu fikra za mwenyekiti wa chama.
 
Chovya Chovya Humaliza Buyu La Asali
Walivyokula pesa za wakulima wa korosho mwaka jana EXPORT LEVY,wakaona sasa wavamie kabxaa na zao lenyewe
Walifkiri ununuzi wa korosho ni lelemama

Hakuna kitu kibaya duniani kama kuwa na chuki binafsi na (PRIVATE SECTOR)
Hadi kufkia mwezi March dola lazma ifike elf3‍♂️
 

Similar Discussions

27 Reactions
Reply
Back
Top Bottom