Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,129
- 829,025
- Thread starter
- #21
Praise team akijiita hata 'papasi' haina shida mradi tu anamsifu Malkia wa Pori
Sent using Jamii Forums mobile app

Eti mtu mzima anajivunia chawa na kuwaita chawa wangu bila kujua machawa lengo lao ni kunyonya na wanampiga hela kilainiiikSisi ukoo wa manyani tuwabebao chawa milini mwetu na kuwahudumia kwa chakula na malazi, mbona tunatendwa mabaya tena? Tumekosea wapi? Tumemkosea nani?
Kama tatizo ni kujitangaza kwa uwazi kwamba sisi ni manyani mbona walipojiita chawa mliwasapoti? Na usajili mkawapa? Na sasa wanakula mema ya pori katika nchi ile ya kusadikika ya mfalme janja kule kwa wagagagigikoko?
Hivi hebu tuwe wakweli kati ya sisi manyani na wale machawa ni nani walau ana faida kwenye hili pori letu tukuka? Hata tukiamua kufanya sensa ya manyani na chawa watatuweza kwa wingi wetu? Na umoja wetu?
Ninini faida ya chawa kama ni kula kulala tuu?
CHAWA WANASTAWI NA KUONGEZEKA HUKU NYANI WAKIMWAGIWA SUMU NA KUUAWA!
Baba Askofu Stephen Munga anashangazwa na mwenendo wa Pori la Mkuranga! Kuwa kuna kikosi kimejitangaza kuwa ni chawa, kimeapa kupambana na kila anayemsema vibaya Malkia wa Pori, kimemwagiwa pesa nyingi kinatembea nchi nzima kumsifia Malkia.
Kikosi kingine kimejitangaza kuwa ni 'nyani' na kinalalamikia utawala wa Malkia wa Pori. Lakini kikosi hicho kinawindwa kama chui awindavyo suala ili kiangamizwe! Lakini cha kuajabia ni kuwa 'nyani' ni wengi zaidi porini kuzidi chawa!
Mwana Kondoo Ameshnda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Dar es Salaam, 21 Septemba 2023; 5:40 asubuhi.View attachment 2757029View attachment 2757030View attachment 2757031
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti mtu mzima anajivunia chawa na kuwaita chawa wangu bila kujua machawa lengo lao ni kunyonya na wanampiga hela kilainiiikView attachment 2757955
Hawaji...Nasubiria comment 1 kutoka kwa nzi wa kijani
Nimeona picha ya chahwa mpaka mwili wasisimka at,Sisi ukoo wa manyani tuwabebao chawa milini mwetu na kuwahudumia kwa chakula na malazi, mbona tunatendwa mabaya tena? Tumekosea wapi? Tumemkosea nani?
Kama tatizo ni kujitangaza kwa uwazi kwamba sisi ni manyani mbona walipojiita chawa mliwasapoti? Na usajili mkawapa? Na sasa wanakula mema ya pori katika nchi ile ya kusadikika ya mfalme janja kule kwa wagagagigikoko?
Hivi hebu tuwe wakweli kati ya sisi manyani na wale machawa ni nani walau ana faida kwenye hili pori letu tukuka? Hata tukiamua kufanya sensa ya manyani na chawa watatuweza kwa wingi wetu? Na umoja wetu?
Ninini faida ya chawa kama ni kula kulala tuu?
CHAWA WANASTAWI NA KUONGEZEKA HUKU NYANI WAKIMWAGIWA SUMU NA KUUAWA!
Baba Askofu Stephen Munga anashangazwa na mwenendo wa Pori la Mkuranga! Kuwa kuna kikosi kimejitangaza kuwa ni chawa, kimeapa kupambana na kila anayemsema vibaya Malkia wa Pori, kimemwagiwa pesa nyingi kinatembea nchi nzima kumsifia Malkia.
Kikosi kingine kimejitangaza kuwa ni 'nyani' na kinalalamikia utawala wa Malkia wa Pori. Lakini kikosi hicho kinawindwa kama chui awindavyo suala ili kiangamizwe! Lakini cha kuajabia ni kuwa 'nyani' ni wengi zaidi porini kuzidi chawa!
Mwana Kondoo Ameshnda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Dar es Salaam, 21 Septemba 2023; 5:40 asubuhi.View attachment 2757029View attachment 2757030View attachment 2757031
Sent using Jamii Forums mobile app
Watumwa enzi hizo ambao walijitambulisha kuwa ni watumwa waliuawa.
Afadhali yako wengine kichwa cha chini kimesimamaNimeona picha ya chahwa mpaka mwili wasisimka at,
Aisee ,nimecheka kijinga sanaAfadhali yako wengine kichwa cha chini kimesimama
Hawa kunguni hawawezi ,upo sawa kabisaHoja ngumu kama hizi " Chawa" huwa hawaji kuchangia!!
Weee!! Chawa wataendelea kuwa chawa tu.Kama kuna chawa wa mama kwa nini kusiwe na nyani wa mama.
Ha ha ha haNimeona picha ya chahwa mpaka mwili wasisimka at,
kuna mumama moja ana chawa wake wa kutosha tu na anawahudumia vilivyo