simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,786
- 9,716
Shukuru ajazabwa makofi.
Mimi ntanunua nifungie kondom nilizotumia kabla ya kwenda kuzitupa dampo
na hapa chini tena ni mavi tuWe chizi kweli saa kumi umenunua gazeti la uhuru umelitoa wapi au nyie bawacha wachawi mnafanya kazi usiku.
Hivi mnaoshabikia mada kama hii mnaakili kweli gazeti gani linauzwi saa kumi usiku hamuoni kuwa hamna akili nyie.
Hivi mnaoshabikia mada kama hii mnaakili kweli gazeti gani linauzwi saa kumi usiku hamuoni kuwa hamna akili nyie.
Jana katika gazeti la Uhuru, kulikuwa na habari inyohusu kwa namana fulani familia ya karibu nami !(si siasa) Nilipewa taarifa hiyo baada ya kufika ofisini asubuhi !Kwa mara ya kwanza baada ya miakatakribani 15 nikalazimika nilinunue!
Nikamtuma msaidizi wa ofisi !Yule binti aliporudina kunikabidhihilo gzeti alinihoji ...kuwa mbona alipokuwa ananunua gazeti hilo watu walimzomeana kumshangaa sana ! linanini ,kwa nini halipendwi hivo....weweunalipendea nini! ....nikamwambaia hili gazetilinamilikiwa na Chama kinachokufaanya wewe uishi maisha magumu ! akaendeleakushangaa ...iweje mim inalisoma! nikamwambia kuna habari ya kifamila sina ujanja!
Sasa ninazidi kuamini maneno ya Prof.KABUDI !NAWAOGOPA SANA WATANGANYIKA!
mkuu umenivunja mbavuSijayaona long time,mara ya mwisho nilipoliona kt stand ya kuuzia lilikuwa na rangi km karatasi ya siku nyingi vile,sijui imekuwa recycled sana bila kutoa wino wa nyuma,au nini..ila nilipomuuliza mbola gazeti km la siku nyingi ila habari zinafanana na siku za karibuni au ndio kwamba nchi yenu imewekewa fikra zilezile.Jamaa akaniambia ni jipya na huwa anaweka kwa vile mtenjaji wa hapo asipolikuwa anaweza mwambia asiweke stand hapo tena.Vipi siku hizi ni masafi kidogo.
Hivi mnaoshabikia mada kama hii mnaakili kweli gazeti gani linauzwi saa kumi usiku hamuoni kuwa hamna akili nyie.
Kama wizara ya Habari ingekuwa fair, gazeti hilo, pamoja na Jambo leo na Tazama, yangekuwa yeshakula life ban, siku nyingi.
Lakini cha ajabu, watawala wetu, walilifungia, gazeti no 1 nchini, kwa investigative reporting, la ----------- na hayo magazeti, ambayo wakati wote, huwa yanaandika habari za udaku na uchochezi, wakiyaacha yanapeta!
Hata hivyo, hakuna utawala duniani, uliowahi kudumu milele, na kutokana na vituko vinavyofanywa na CCM hivi sasa, hasa hasa namna wanavyouendesha mchakato wa katiba, kule kwenye bunge la katiba, ni dhahiri kwa sasa, siku za magamba kuendelea kubaki madarakani, na siku ambayo magamba wataondoka madarakani na ndiyo siku hiyo hiyo, tutalizika rasmi gazeti la uhuru, kwa kuwa gazeti hilo, halijiendeshi kibiashara, kwa maana ya kununuliwa na wapenzi wa gazeti hilo, bali gazeti hilo la propaganda, linaendeshwa kwa pesa za ruzuku za chama cha magamba.
Hilo gazeti nitalinunua labda kwa kufungia vitumbua!
Hivi mnaoshabikia mada kama hii mnaakili kweli gazeti gani linauzwi saa kumi usiku hamuoni kuwa hamna akili nyie.