Mbona natongoza lakini sikubaliwi?

Labda unanuka mdomo kapige mswaki kwanza!
 

Kuna mtu alisema humu,ukiona mwanaume anaandika "xana" badala ya sana atakua shoja,sijui kama ni kweli!
 
Inaonesha hujui kuhonga vzuri ndo maana...pole sana dunia ya Leo wadada wengi tumefanya relationship kama ajira..tunataka tulipwe..si unajua mkono mtupu haulambwiii
 

yamejaa huko barabarani okota jipe 3000 fokoa tembea,utaliwa wewe zinahama machoko wanasema
 
Hujaweka wazi huwa unamtongoza nani na kwa minajili gani. Manake hata mashoga nao hutongoza wanaume wenzao....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…