Mbona mimi sipati demu bikra?

Mbona mimi sipati demu bikra?

Jina lako la mwanzo mh! ni balaa kwa hiyo baada ya kubaniwa mara kwa mara ndio ukamua ujiite hilo jina?!
 
pole sana, siyo rahisi kama unavyochukulia....
Lakini ndiyo vile wenye Bahati zetu tulishafanya yetu,
Bikra wapo, sema upo tayari kwenda 30 years Jela??? Maana wote wenye Bikra ninaowafahamu bado watoto wa shule
 
wewe mwenyewe ni bikra????????????????????, jichunguze kwanza...eeeh... sio kuwasema watoto wakike tu apa, zaa mtt wako w kike atakua nayo!
Ni wajibu wake kutafuta kilicho bora maana yeye ndiye anaye ingia ghalama na kama wewe ulishatumiwa na watu ni bora ukakaa kimya haiwezekani mtu uliye panga kumtoa kwao kwa mahali na mapambio kumbe ni mke wa wenzako
 
wewe mwenyewe ni bikra????????????????????, jichunguze kwanza...eeeh... sio kuwasema watoto wakike tu apa, zaa mtt wako w kike atakua nayo!
Ni wajibu wake kutafuta kilicho bora maana yeye ndiye anaye ingia ghalama na kama wewe ulishatumiwa na watu ni bora ukakaa kimya haiwezekani mtu uliye panga kumtoa kwao kwa mahali na mapambio kumbe ni mke wa wenzako
 
Bikra zipo mkuu,inategemeana na maeneo unayochukulia madem.

My first was virgin,my second wasnot. My third n 4th were virgin also.

Keep on trying dude.
 
nenda pale sinza kuna dada poa wengi tu ambao ni bikra
 
Yan nyie wanaume nnachezea wasichana watu mnaona haitoshi mnatafuta na madecent nao muwaharibu afu baadae mseme wasichana wote madunga embe woi
 
Itafute hii ni virgin....
 

Attachments

  • 1468324065556.jpg
    1468324065556.jpg
    22 KB · Views: 48
Wewe ni bikra?kama unavyowachezea hao ukitafuta bikra,vivyo hivyo watangulizi wako wamewachezea,biblia inasema utapewa wa kufanana na wewe,hao ndio saizi yako hao ndio mnaofanana,
 
Niaje wazeiyaaah...
Mko Bwaxx!!!

Nimeona nibadili ID yangu baada ya BAN kuniandama sana..

Sasa issue iko hivi mazee :
Toka nijiingize kwa masuala ya mapenz mwaka 2011 nilipo maliza form six, cjawah kubahatika kukutana na DEM Virgin...

Yaan kila DEM namkuta used tuu, cjui ma kina nani huwa yananiwahi kubabake....

Manzi wa kwanza nilimpata shule moja nilikua napiga tempo tabora kule alikua form two...
Nikawa na iman 90% huyu bado huyu..
Heeee cku nampeleka getto (my first time to have sex) nakuta dogo ashafunguliwa.. Shiiiit!!!

Haya nikaenda chuo....
Nilipo maliza nikakutana na manz mwingine kamaliza chuo na yy, cku nampeleka Moveck hotel pale ubungo maziwa aaargh na yy nakuta ashafumuliwa kitaambo...
Tena tuko kwa kitanda pale akasema alisha date na wanaume wawili..
This is Bull Shiiiit...

Sasa nimeamua nijitoe kwanza kwa haya mambo natafuta mbinu za kumpata DEM Namie niwe wa kwanza kumfungua ndio niridhike...

Sasa mazee ambao mshawah kufungua MADEM...
Mnatumia mbinu gan, yaan niwafate MADEM gan wanafunz? Form ngap? Chuo?? Level gani nipate bikra??

Staki kuchezeana na binti wa watu..
Nataka kuoa actually (I am 26 now)
But kuoa mwanamke bikra ndio tamaa yangu kubwa sana..

Nisaidien tafadhal USHAURI.
Ukigusa mwanafunzi tu, jela inakuhusu na hapo wataenda kukutoa wewe bikra
 
Kuna kitu mnanichanganya hapa!!
Huyu jamaa (@bolo yanki) sio bk ila anataka demu bk, alaf kuna watu hasa walengwa (waliokwishwa gegedwa) wanadai ati hawezi pata bk kisa yeye sio bk. Kama bk anapata bk mbona jamaa wa kwanza hakuwa ivo?
Kuna mtu anadai keshatoa bk kwa mkono,
Pia kuna mwingine kadai ati mtu anapata afananiaye, mbona alipompata wa kwanza hakuwa yule aliyeitoa kwa vidole?!
Maelezo zaidi yanahitajika huenda ufupi wa akili yangu kukawa kuna kitu nimemiss.
 
mwanafunzi wa chuo bikra!!!!! akipatikana tumpeleke makumbusho...

na wewe bikra za nini..wataka kuzinywa supu
Kuna binti kamaliza kidato cha nne mwaka jana,kaiambia familia yake anataka kuwa sister nikajiuliza ajapiga mnjunju kweli huyo,au yaliyomo bado yamo..na je ataweza kuvumilia?
 
Wapo hata chuo kikuu,ila msichana BIKRA sitaki hata kumsikia,ni mateso tu wala hufaidi.USED ndo kila kitu tena akijua kuisimamia ndo balaa,NANI ANATAKA MAGOGO KISA BIKRA??????
 
unaitakia nini?
Kitu kipya na used ni tofauti sana mkuu.
Km unabisha hebu nunua simu mpya halafu kanunua used. Halafu siku moja chukua hiyo mpya nenda nayo misele. Siku nyingine chukua used nenda nayo misele. Halafu pima siku ambayo ulikuwa na simu mpya ulijisikia na siku ambayo ulikuwa na used nayo ulijisikiaje?
nzuri sana hiyo kwanza inakufanya 1.umuamini mpenz wako
2. Inaleta heshima na amani ya roho
3. Inakufanya ujione ww ni bora kuliko wanaume ww, kutunziwa bikira unafikiri mchezo.
4. Inaongeza mapenz sana, utampenda mkeo mpaka bac
hata mm huwa natamani sana mke wangu ningemkuta bikira.
 
Kuna binti kamaliza kidato cha nne mwaka jana,kaiambia familia yake anataka kuwa sister nikajiuliza ajapiga mnjunju kweli huyo,au yaliyomo bado yamo..na je ataweza kuvumilia?
kwa mwanamke mkuu inawezekana sana. Mwanamke anaweza kukaa miaka 50 asikutane na mwanaume. Lkn kwa mwanaume ni ngumu.
Mwanamke km hajaamua huwez kumvua vyup hata km mnalala kitanda 1 lbd umbake.
 
Back
Top Bottom