tindikalikali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,854 Reaction score 1,146 Feb 29, 2012 #1 Kuna mwalimu alikuwa anashangaa kukuta ugali kwenye masink ya chooni huku akiconclude kwamba wanaingia na sahani za msosi chooni, madent wakamjibu "anashangaa kuingia na sahani? Mbona midomo 2naingia nayo chooni na hashangai?"
Kuna mwalimu alikuwa anashangaa kukuta ugali kwenye masink ya chooni huku akiconclude kwamba wanaingia na sahani za msosi chooni, madent wakamjibu "anashangaa kuingia na sahani? Mbona midomo 2naingia nayo chooni na hashangai?"
mgodi JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 2,780 Reaction score 1,852 Feb 29, 2012 #2 Mkuu, uko vizuri.
mamLook Member Joined Feb 26, 2012 Posts 84 Reaction score 22 Mar 1, 2012 #3 Mbona kinacholiwa na midomo iyo kinaishia ukoUko chooni? Du, am out !
ummu kulthum JF-Expert Member Joined Feb 6, 2012 Posts 2,784 Reaction score 1,317 Mar 1, 2012 #4 hiyo ni kweli unatisha mkubwa