Jaguar JF-Expert Member Joined Mar 6, 2011 Posts 3,440 Reaction score 1,034 Nov 30, 2012 #1 Baada ya kuiona sura ya mmakonde ikiwa na mikwaruzo kibao, mmasai akasema, 'rafikhi, mbona una mistari usoni? au chui ameparua wewe?.Mmakonde ?akamjibu, 'mbona we umekaa uchi toka arucha hadi mwanja lakini mi chichemi?
Baada ya kuiona sura ya mmakonde ikiwa na mikwaruzo kibao, mmasai akasema, 'rafikhi, mbona una mistari usoni? au chui ameparua wewe?.Mmakonde ?akamjibu, 'mbona we umekaa uchi toka arucha hadi mwanja lakini mi chichemi?
ZENITH JF-Expert Member Joined Feb 5, 2012 Posts 1,064 Reaction score 991 Dec 1, 2012 #2 Huu sasa ugomvi!