Mbona MD imekuwa ngumu hivi!!!

Mbona MD imekuwa ngumu hivi!!!

kombaME

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
2,115
Reaction score
2,819
Wazima wakuu,

Ukipitia guide book ya tcu MD ndo kozi yenye sifa ngumu kujiunga.. Inataka kuanzia point 8 alafu uwe na atleast Phys D, Chem C na Bios C.. Hizi sifa zimeshiba, wakati kozi zingine nyingi zinataka point 4.

Sijajua kwanini hasa imekuwa hivyo, au wanataka kurudisha ile heshima ya daktari ya zaman, kwamba ukimuona daktari unahisi kama sio kiumbe wa kawaida hivi.

Mwenye uelewa na hili anieleweshe kidogo, bado sijapata logic hasa kwanini sifa za kujiunga na masomo ya udaktari yawe special hivi..

NB: Mtakaopata nafasi za MD jueni kuna mlima wa kuupanda hadi kufikia mwisho mwema, ni shule iliyojaa tabu na manyanyaso''minyonyo'' iliyopo huko si mchezo, jiandae kisaikolojia kupambana na maneno yanayouma kutoka kwa''machief''.. But kutoboa is very possible

KARIBUNI KWENYE FANI
 
Hii yote ni kuepusha mgonjwa wa kufanyiwa upasuaji wa kichwa asipasuliwe mguu🙁🙁🙁.
 
sasa mbona DCC (PCB) ni marks za kawaida sanandugu? wewe unangapi?? mimi nilipataga PCM - (BCA) ....kazana bab
 
Wanapunguza madaktari mmekuwa wengi na hawana uwezo wa kuwaajili na nyie hamna akili za kujiajili
 
Wazima wakuu,

Ukipitia guide book ya tcu MD ndo kozi yenye sifa ngumu kujiunga.. Inataka kuanzia point 8 alafu uwe na atleast Phys D, Chem C na Bios C.. Hizi sifa zimeshiba, wakati kozi zingine nyingi zinataka point 4.

Sijajua kwanini hasa imekuwa hivyo, au wanataka kurudisha ile heshima ya daktari ya zaman, kwamba ukimuona daktari unahisi kama sio kiumbe wa kawaida hivi.

Mwenye uelewa na hili anieleweshe kidogo, bado sijapata logic hasa kwanini sifa za kujiunga na masomo ya udaktari yawe special hivi..

NB: Mtakaopata nafasi za MD jueni kuna mlima wa kuupanda hadi kufikia mwisho mwema, ni shule iliyojaa tabu na manyanyaso''minyonyo'' iliyopo huko si mchezo, jiandae kisaikolojia kupambana na maneno yanayouma kutoka kwa''machief''.. But kutoboa is very possible

KARIBUNI KWENYE FANI

wangekuwa na lengo la kumfanya daktari aheshimiwe wasingeruhusu form four kujiunga na diploma ya afya ambapo akitoka hapo anajiunga na degree ya huo udaktari. sema wapangaji Wa vigezo huwa ni walevi. kwa wale wenye ndoto za kusoma udaktari msihofu IPO Siku zitatimia hata kama utakuwa umeshasoma kozi nyingine lakini utasoma kwa Mara nyingine maana hawa mawaziri Lila mmoja akiingia anaingia na vigezo vyake
 
Hii yote ni kuepusha mgonjwa wa kufanyiwa upasuaji wa kichwa asipasuliwe mguu🙁🙁🙁.

kuna mwingine anapata marks nyingi kwa kuibiwa mtihani pia. so ni vigumu kupima uelewa Wa mtu kwa kuangalia matokeo ya mtihani
 
wangekuwa na lengo la kumfanya daktari aheshimiwe wasingeruhusu form four kujiunga na diploma ya afya ambapo akitoka hapo anajiunga na degree ya huo udaktari. sema wapangaji Wa vigezo huwa ni walevi. kwa wale wenye ndoto za kusoma udaktari msihofu IPO Siku zitatimia hata kama utakuwa umeshasoma kozi nyingine lakini utasoma kwa Mara nyingine maana hawa mawaziri Lila mmoja akiingia anaingia na vigezo vyake
Facts....wasikate tamaa
 
Back
Top Bottom