Mbona matokeo ya CPA yamechelewa hivi?

Mbona matokeo ya CPA yamechelewa hivi?

jau jau

Member
Joined
Nov 5, 2017
Posts
38
Reaction score
30
Kama swali linavyouliza hapo juu, si kawaida kufika Christmas matokeo ya CPA(T) yanakuwaga yashatoka ila kwa msimu huu yamechelewa kidogo.Au kuna uwezekano wa kuyatoa leo?
Wengine ni graduates hapa tunataka matokeo yatoke tuanze safari ya kuitafuta CPA(T)
Asanteni wanajukwaa
 
Wewe unasubiria matokeo yaani graduate ndo uwe na kiherehere hivyo na experience ya matokeo kuwa unatokaga lini
 
Usihofu uhakiki wa vyeti vya la saba unafanyika kwanza.
 
Duh..! Mkuu umesoma chuo gani hicho cha wasiojua kuwasilisha vizuri..??

Hakuna kozi chuo kisicho na somo la ujuzi wa mawasiliano.!

Jirekebishe Mkuu, unadharirisha taaluma yako na chuo..!
Kosa lipo wapi apoo wabongo banaa hawakosi sababu....ilimradi mada eeleweka
 
Duh..! Mkuu umesoma chuo gani hicho cha wasiojua kuwasilisha vizuri..??

Hakuna kozi chuo isiyo na somo la ujuzi wa mawasiliano.!

Jirekebishe Mkuu, unadharirisha taaluma yako na chuo..!
Nakuona we mwenye ujuzi uko vizuri sana kwenye kutumia alama za uandishi.
 
mwaka gani tutapata rais mwenye cpa.. mbona walimu tu?

mwaka gani tutapata matajiri wenye cpa .. maana tangu mengi awakilishe hajatokea mwingine tena huku wakinga hawana shule wanaotesha vitu kkoo tu

mwaka gani tutapata ma ceo wenye cpa
 
Mwaka kesho tu hapo...
 
Cpa holder wengi ni waoga wa kujiajiri na kuanzisha biashara zao,mimi mwaka 2018 nitaajiri cpa mmoja na wataalamu wengine wanisaidie biashara zangu
 
Cpa holder wengi ni waoga wa kujiajiri na kuanzisha biashara zao,mimi mwaka 2018 nitaajiri cpa mmoja na wataalamu wengine wanisaidie biashara zangu
Kumbe mpaka sasa hujaanzisha biashara na unataka kumuajiri CPA holder mwaka kesho... Jitathimini upya kabla hujaandika maneno ya kujiabisha mbele ya kadamnasi .ile ni professional kubwa huwezi kumuajiri CPA holder kama mfanyakazi wako wa ndani...
 
mwaka gani tutapata rais mwenye cpa.. mbona walimu tu?

mwaka gani tutapata matajiri wenye cpa .. maana tangu mengi awakilishe hajatokea mwingine tena huku wakinga hawana shule wanaotesha vitu kkoo tu

mwaka gani tutapata ma ceo wenye cpa
Uhasibu mainly based on doing not leading....CPA holder wengi hatujui kuongozi tunajua kufuata bosi anasemaje,IFRS inasemaje,sheria zinasemaje labda zaidi tunajua kupika Financial reports tuu ili kupendezesha kampuni in the stock exchange market ila kupata share holders wengi zaidi...lakini tukipewa jukumu la uongozi wengi wanafeli hatujuagi kupanga mikakati wengine wafuate tunajua kufuata mikakati ya wengine.
 
Wanayafanyia ukarabati Mkuu.

Kama swali linavyouliza hapo juu, si kawaida kufika Christmas matokeo ya CPA(T) yanakuwaga yashatoka ila kwa msimu huu yamechelewa kidogo.Au kuna uwezekano wa kuyatoa leo?
Wengine ni graduates hapa tunataka matokeo yatoke tuanze safari ya kuitafuta CPA(T)
Asanteni wanajukwaa
 
Sasa? sijakupata hapo.

Pamoja sana Mkuu, sema mwaka huu bodi wamezingua sana. Nilitegemea matokeo yatawahi kutoka ukizingatia ratiba ya mtihani iliwahishwa kidogo tofauti na kipind cha nyuma lakin imekuwa ndivyo sivyo! Sijajua hata ongezeko la ada kwa kiasi kikubwa walilolifanya limeshindwa kuongeza ufanisi wao wa kushughulikia uchakataji wa mitihani. Sasa ongezeko limewalewesha badala ya kuwachakalisha.

Labda watayadondosha matokeo kesho tusindikizie sikukuu. Tuendelee kuvuta subira.
Nilimaanisha Sawa...
 
Back
Top Bottom